Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Mkuu inaonekana unachuki Binafsi na Chadema.
Hv leo akifa (Mungu epushia Mbali) CDF Davis Mwamunyange, Mandhar ya Msiba ikiwekewa Bendera za JWTZ kuna ubaya gani, tukiona wanajeshi wamevaa Uniform pia tutie Neno?
Mbona hata kwenye Misiba ya Viongozi wa Magamba inakuwaga hivyo....
Just have a look on the pics below kwenye msiba wa balozi Athumani Mhina