Duh. Obama anatumia Dell? Nilitarajia awe na Macbook au walau Sony Vaio
Inawezekana baba MwaAsha SIO COMPUTER LITERATE mbona hana hata computer mpakato!!!
Duh. Obama anatumia Dell? Nilitarajia awe na Macbook au walau Sony Vaio
Nashangaa anakwenda kuongea nini tena kama sio mipasho, mashangingi yote ya mjini yameelekea Dom kuupamba mji kwa vifijo na nderemo
Ukimuona utasema anasoma,kweli hicho anachoandika subiri aanze kuongea..
Duh. Obama anatumia Dell? Nilitarajia awe na Macbook au walau Sony Vaio