Mkuu nimesoma post ya Kennedy hapo chini kwamba unatudanganya. Hivi unapata faida gani mtu mzima kudanganya wenzio? Kwani ni lazima ulazimishe post??View attachment 146084rais jk akiweka maandalizi ya hotuba yake kesho akiwa safarini kwenda dodoma leo!
Mkuu nimesoma post ya Kennedy hapo chini kwamba unatudanganya. Hivi unapata faida gani mtu mzima kudanganya wenzio? Kwani ni lazima ulazimishe post??
Mkuu nimesoma post ya Kennedy hapo chini kwamba unatudanganya. Hivi unapata faida gani mtu mzima kudanganya wenzio? Kwani ni lazima ulazimishe post??
Nashangaa anakwenda kuongea nini tena kama sio mipasho, mashangingi yote ya mjini yameelekea Dom kuupamba mji kwa vifijo na nderemoAnaenda kutimiza wajibu wake tu lkn warioba ameshamaliza kitu
Mbona ndege ndani haifanani na ya Obama nilicha ya kulishwa nyasi ikanunuliwa?
Mkuu fanya kazi kama hotuba ya raisi utaipata kwenye Website ya serikali, sometimes tujizoeshe kutafuta habari kwa kuperuzi mitandaoni kama ulivyojitutumua kuingia humu maana tangu runinga zije tumepoteza kabisa utamaduni wa kujisomeaNaomba kwa niaba ya WAFANYAKAZI wote nchi hii, Jakaya wetu atangaze KESHO siku ya MAPUMZIKO ili tupate muda mzuri wa kumwona na KUMSIKILIZA. Mbona tulipumzika siku ile baada ya sherehe za Mapinduzi ambazo kumbe zilikuwa za NCHI nyingine?
Ikishindikana basi ahutubie BUNGE hili maalum saa mbili usiku kesho ili wengi wetu tuwe tumefika majumbani.
Seat ya rais kwenye jet yetu haina hadhi kabisa unless kuna chumba kingine....
Kama ndo hapo huwa anakaa hadi ulaya....mimi niko tayari kula nyasi tena tununue jet ya kisasa...
Duh. Obama anatumia Dell? Nilitarajia awe na Macbook au walau Sony Vaioaisee..............
Mbona ndege ndani haifanani na ya Obama nilicha ya kulishwa nyasi ikanunuliwa?