PICHA: Rais J.Kikwete na Rais J.Banda wa Malawi wakutana Msumbiji na kuzungumzia Mgogoro wa Mpaka

I have got an immediate question on this, wamekutana kama marafiki kama ilivyo kwa marais wengine au wamekutana ili kusuluhisha suala la mpaka. Mbona hakuna mpatanishi hapo?
 
Ujinga ni kitendo cha kuonyesha kutoujua ukweli. Upumbavu ni kitendo cha kuonyeshwa ukweli lakini ukaupuuzia ukweli. Ukweli wa Ziwa Malai kuwa lote la Malawi ulionyeshwa humu kwamba Anglo-Germany treaty of 1890 ndiy definitive state of Tanzania and malawi border.

Kama hukujua hili basi ujinga ungeondoka baada ya kujulishwa hili. Tumeandika sana lakini kwa sababu vichwa vimezoea kuelimika kwa kudesa basi ving'ang'anizi wakaganda na mawazo yao kwamba waenye akili wote wamegeuka kuwa wamalawi.

Sasa anzeni sasa kumuita JK kuwa ni Mmalawi naye maana Joyce Banda hakumumng'unya maneno katamka mbele yake kuwa Ziwa ni la Malawi kwa 100%.

Bernard Membe kauli yake iliyomo kwenye hansard haifutiki na kwanza alikosea hata kujua latitude za ziwa hilo.

Viva wote wapenda ukweli. Kamwe nisingeweza kushabikia wizi wa kuiba ziwa ambalo halikuwahi kuwa letu. Sasa ninapumua, yaliyobaki ni diplomacy ya kupunguza munkari ya wagumu wa kuelewa.

Masaburi at work we mkimbizi nini?
 
Hatujabisha labda alikuwa anamaanisha Ziwa lake la kifuani... lakini kama ni Ziwa Nyasa na unazungumzia 100% basi labda liwe limehamia Lilongwe.
 
Katika vitu ambavyo serikali hii imeshindwa kabisa ni ku-negotiate na kusolve internal matters. Watumishi tu wanaipa tabu na migomo yenyewe inakimbilia mahakamani. Ikiona vipi inakupeleka Mabwepande.

Hautegemei serikali hii ipate uwezo wa ku-negotiate na Malawi juu ya hili ziwa.

Neno DHAIFU linabeba maana nyingi sana.
 
MAMMAMIA,

..nasikia hana mume.

..halafu JK anaruhusiwa mpaka wanne.

..mimi nadhani suala hili ni rahisi sana kumalizwa na JK kuliko watu wengi wanavyofikiria.
Hata mimi nitajitolea kwa hilo, kwa sharti moja tu, ahamie TZ.
 
huu ndo wakati wa kupima vocal za huyu bwana..........mtoto wakike ni wakike tu...JK akikwama kumlainisha huyu bibi ntapata mashaka alimpataje mama salma
 
Hata mimi nitajitolea kwa hilo, kwa sharti moja tu, ahamie TZ.

MAMMAMIA,

..lakini Joyce ni Amiri jeshi mkuu wa Malawi.

..She is such a busy person.

..hata JK akifanikisha itabidi wawe wanamalizana wakati wa mikutano kama OAU,SADC,UN, etc etc.

..huyu siyo mtu wa kuwa naye karibu siku zote.
 
huu ndo wakati wa kupima vocal za huyu bwana..........mtoto wakike ni wakike tu...JK akikwama kumlainisha huyu bibi ntapata mashaka alimpataje mama salma
Hujui kama baada ya kugombana na mama Riz wazazi wake walimtafutie Salma wakamtumia kule Mtwara alikokua? Hivyo ndivyo alivyompata ondoa shaka
 
Tatizo la huyu Mkuu wetu,anapenda sana vimwana uenda hapo kaishageuza story that why anatabasamu.
 
daa hata mi nimeshangaa..mbona mama anaonekana cheap tu huyo..ningakuwa hata waziri wa nje JK angenitumia niende usiku mmoja basi mgogoro umeisha..au tumtume masilingi aende na KAG-TECH..
Hapo anaonekana ni mwanamke kama kawaida. lakini akifika nyumbani usiku ni kama mtoto mdogo. Mi ningekuwa kikwete ningemfanya awe nyumba ndogo. Mia
 
Ewaaaa. Na mimi nilitaka niulize hilo hilo kwani ukiangalia vizuri utaona kwamba kila mmoja anataka asogee mbali zaidi ya mwenzake: Halafu JK ndiyo kajisogeza ndani ndani kuleeeeeeeeeeee kwenye angle kabisa.
Jamani Mkulu amesema Banda ni dada yake, sasa amsogelee wa nini?

Tunapenda udaku hata kwa vitu vya kidiplomasia na protokali.

Hili picha likionekana Malawi litawaondolea wasiwasi na sisi hapa tunasema mkulu anachekackeka, amfanye nyumba ndogo, ajisogeze karibu nae...ni wazi tunaelewa machungu ya Vita. Ile ya Amini bado imetuzuia kutia viraka barabara zetu.

JK na Banda ,wameshateua wanadiplomasia kuzungumzia hili ziwa na kutafuta suluhu. Tuwape nafasi na muda.
 
Mkuu, don't take it so serious! Ni nani mwenye akili zake timamu anataka vita kama sio lazima kabisa? TZ we one and we had it enough. Ni suala la kulimaliza mezani sio uwanjani.
 
Amri Jeshi Mkuu wa Vyombo vyote vya ULINZI na USALAMA, amesema HAKUNA VITA, HAWEZI KUMTWANGA DADA YAKE. FULL STOP! Hongera KAMANDA COL. DRT. KIKWETE. VITA si nzuri Kabisa. Wanasiasa (Wasuccession 2015) waache SIASA kwenye hii kitu.
Angalia bendela yetu inavyopendeza kama Watanzania tunavyopendeza. Busara zitumike kutatua tatizo nguvu sio suluhisho katika wakati huu
 
Back
Top Bottom