PICHA; Operation Sangara Ya CHADEMA Yaingia Ulanga

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
Pg.6.JPG
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mgeta katika jimbo la Kilombero mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya mikutano ya operesheni Sangara.
Pg.1.JPG
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akiongozana na viongozi mbali mbali wa chama hicho, walipokuwa wakivuka katika kivuko cha mto Kilombero wakitokea jimbo la Kilombero kuelekea jimbo la Ulanga Magharibi, katika mikutano ya Operesheni Sangara inayoendelea katika mkoa wa Morogoro. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa mkoa wa Tabora, Kansa Mbaruok.Picha na Joseph Senga
 
Chama cha msimu kauli ya mr. dhaifu, kumbe chama chake nyinyiemu ndo cha msimu ila kutojitambua ni taabu sana.
 
Amejibu nini alipoulizwa kuhusu mikopo? au huko hakuelezea mikopo na saccos zinavyofanya kazi?
 
Safi sana wapogoro, wandamba lazima waamke , tena huko kombani mumng'oe hana alichokifanya, angalia kivuko cha mwaka '47 kabisa hicho
 
Pg.6.JPG
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mgeta katika jimbo la Kilombero mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya mikutano ya operesheni Sangara.
Pg.1.JPG
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akiongozana na viongozi mbali mbali wa chama hicho, walipokuwa wakivuka katika kivuko cha mto Kilombero wakitokea jimbo la Kilombero kuelekea jimbo la Ulanga Magharibi, katika mikutano ya Operesheni Sangara inayoendelea katika mkoa wa Morogoro. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa mkoa wa Tabora, Kansa Mbaruok.Picha na Joseph Senga
VIVA CHADEMA, VIVA MAKAMANDA, VIVA UKOMBOZI WA TANZANIA!! Ahsante kwa kutupa taarifa hizi muhimu saana!!!

Amejibu nini alipoulizwa kuhusu mikopo? au huko hakuelezea mikopo na saccos zinavyofanya kazi?
Kwa nini azungumzie mikopo wakati fedha zetu zimejaa Swiss Bank, SA, CayManas Island zimefichwa hazina kazi kwa nini usiwaambie wakubwa zako maghamba wazirudishe Tanzania zisaidie uchumi wa wanyonge????
 
Amejibu nini alipoulizwa kuhusu mikopo? au huko hakuelezea mikopo na saccos zinavyofanya kazi?

Wapi majibu ya: lissu kuhusu Rc/Dc ambao ni wabunge wa kuteuliwa?
Haki za msingi za wafanyakazi wanaotaka kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii?au bado mnataka mzizungushe michango yao?
 
Back
Top Bottom