Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,315
- 33,111
- Thread starter
- #21
|
<tbody>
</tbody>
|
Ni za kweli hakuna uongo hapo wala Photo shopAm speechless!! The pictures are so amazing and breath taking... Hivi zote ni za kweli kabisa? (just curious)
Raisi (Sultan wa Brunei) tajiri kuliko wote duniani
Unazidi Utajiri wa Sultan wa Brunei 90 euro kila sekunde
sultan wa brunei Mohammad hassan Bolkiah raisi tajiri kuliko maraisi wote duniani, Maarufu kwa utumiaji wa dhahabu kwa kila kitu, hali ila na vijiko vya dhahabu, na nguo anazo vaa zimepambwa kwa dhahabu na fedha
Hizi ni baadhi ya palace zake, zinajulikana kuwa ni palace za kifaghari kuliko zote duniani zilizo pambwa kwa almasi 1788. vyoo vyake zimepambwa kwa dhahabu na fedha 257. Car park yake inatosha kupaki gari 110, Palace yake inazo picha 650 zilizo wekwa katika frame, frame ya rahisi kabisa katika frame hizo ni 150.000 Euro
Ndege ya Sultan wa Brunei
Ndege hii ni kubwa duniani ilio pambwa kwa dhahabu, Sultan huyu anamiliki pia ndege aina ya Boing 747 thamani yake milion 100 dolla ilio tengenezwa kwa ndani kwa thamani inao zidi milioni 120 dolla, ina vyoo na vyumba vya dhahabu, pia anamiliki ndege ndogo sita na helicopta moja.
.
.
.
Gari ya mtoto wa Sultan wa Brunei
Imetengenezwa na rose rise co. kwa special order kutoka kwa Sultan, gari hii ina shape ya rose rise ilio changanyikana na ya porsche, gari hii ipo London anaitumia akiwa huko London tu.
Arusi ya mtoto wa Sultan wa Brunei ilio fanyika kwa muda wa siku 14 kwa gharama ya 5 milion dolla, ilio hudhuriwa na zaidi ya maraisi 25.
Gari ya Raisi wa Brunei ilio pambwa kwa dhahabu
Amira amevaa kichwani mwake taji ya almasi
Haya yalio andikwa katika wikipedia
wanasema Sultan huyu anamiliki
531 mercedes Benz
367 ferrari
362 Yabntal
185 BMW
177 jaguar
160 porsche
130 Rose rise
Na
20 lamborghini
Jumla za gari zake ni 1932
Ehh Duniani kuna Mambo Mwenyeezi Mungu amzidishie kila la kheri huyu Sultan wa brunei naampe moyo waimani wa kutusaidia sisi Maskini Wa Ki Tanzania Walala Hoi Ameen