Picha: Nyumbani kwa The Late SACP Liberatus Barlow

Jeshi la polisi lini mtaacha kuwaongopea wananchi mlioapa kuwalinda?mkiua raia wasio na hatia mnajidai wameuawa na vitu vyenye ncha kali,akiuawamwenzenu ktk fumanizi,kauawa na majambazi
Dunia imebadilika hata kama ni dada yako kaolewa ndo umrudishe saa 8 usku? au ndo mabavu na ma2miz mabaya ya madaraka hadi kwa shemeje?
 
1.jpg

The Late SACP Liberatus Barlow


Tujaribu kuwa na jicho pana kidogo. Kuna kitu ambacho kinafanyika kwa sababu za kisiasa. Hatujasikia kashkash za mabomu ya kuwalipulia makamanda wa magwanda wanapofanya majamboz yao Mwanza. Huyu ndiye mwenye kutoa mwongozo nini kifanyike na nini kisifanyike.

Kumhamisha ko kote aendako ataendelea na msimamo huo kwa vile hayuko tayari kutumiwa kwa masilahi ya Akina Mwema na CCM yao. Hiki ndicho kinachoendelea.
Mkuu acha kupotosha, Huyu jamaa kuna madai kuwa ndo ali coordinatenKupigwa kwa Wabunge wa CDM Mwanza, sasa Yupi bora (Kamuhanda & Shirogile) hawa waliratibu mauaji ya Wanachama wa CDM, Lakini huyu alienda Mbali zaid kwa Viongozi, Mkuu Mazingira yote yanaonesha Kamanda Yamemkuta yanayokutaga Mashujaa wengi Kama Samsoni Na Delila na wengine weeeeeeeeeengi tu
 
Dark City, ina maana huyo mama ameolewa? Hivi ukishakuwa kamanda wa polisi akili nazo zinakoma kufanya kazi? Hii inanikumbusha hadithi ya Dr. Kleruu na yule mzee wa kihehe Mwamwindi. Unaenda kwa mke wa mtu saa nane usiku unategemea nini? Inawezekana jamaa alishafanya mazoea. Si angemuhamisha nyumba ajue moja.


Sina hakika mkuu Ndahani kama RPC alikuwa na Dorcas au mwanamke mwingine,

Ila nilichosikia kutoka site ni kwamba kuna mtu alikuwa amenyanyaswa kiasi cha kutosha kwa kufanyiwa unyang'anyi na siyo wizi wa kawaida tuliouzoea!

Hii habari ya dada yake aitwaye Dorcas na baadaye RC amesema kuwa siyo dadake (na akitumia mikono kuonesha kuwa ni "dada yake" in inverted comma)...inaweza kuwa ni ya kutunga, na wala sitashangaa!
 
Last edited by a moderator:
Msipende assumptions kila mara.
Usiku ndio.....Walikuwa kwenye kikao cha harusi.
Isitoshe huyo mwalimu ni mjane.
Ni mjane sawa, kikao cha harusi sawa, kinachowafanya ma-great thinkers kukuna vichwa ni kikao cha aina gani huisha saa nane za usiku? Na kwa nini Afisa Mkuu yule haku-delegate kazi ya kumrudisha 'vichochoroni' yule mwalimu kwa dereva wake ambaye tuna uhakika kwa wadhifa wake anaye? Maadili ya uongozi hayaruhusu kiongozi mkuu kufanya alivyofanya.
 
Sina hakika mkuu Ndahani kama RPC alikuwa na Dorcas au mwanamke mwingine,

Ila nilichosikia kutoka site ni kwamba kuna mtu alikuwa amenyanyaswa kiasi cha kutosha kwa kufanyiwa unyang'anyi na siyo wizi wa kawaida tuliouzoea!

Hii habari ya dada yake aitwaye Dorcas na baadaye RC amesema kuwa siyo dadake (na akitumia mikono kuonesha kuwa ni "dada yake" in inverted comma)...inaweza kuwa ni ya kutunga, na wala sitashangaa!
Ni kweli ile ishara ya mikono aliyoitumia RC ina maana kuwa hana uhakika kuwa ni dada yake,so na yeye anazungumzia quotation,inawezekana na yeye amerudia tu taarifa ya Mwema,na inaonekana hataki kupingana na nayo.
 
Ukweli husemwa:

Wewe ndiyo unakoleza kabisa hizi assumptions. Kumbe ni mjane!!. Basi kutakuwa kuna ukweli ndani yake ya wao kutoka nyumba ya kulala wageni muda huo.

Msipende assumptions kila mara.
Usiku ndio.....Walikuwa kwenye kikao cha harusi.
Isitoshe huyo mwalimu ni mjane.
 
Ukweli husemwa:

Wewe ndiyo unakoleza kabisa hizi assumptions. Kumbe ni mjane!!. Basi kutakuwa kuna ukweli ndani yake ya wao kutoka nyumba ya kulala wageni muda huo.

Si ungesoma muktadha wa nilichosema basi!?
Kuna mchangiaji alisema kwanini mke wa mtu awe nje masaa yote hayo...nami nikasahihisha.Nimekoleza nini hapo?
 
Umenielewa vibaya. Nimesema hivyo nikiwa na maana kuwa kama huyo binti ni mjane, basi kuna uwezekano wa yeye na Marehemu walikuwa katika mahusiano yasiyo ya kawaida.

Si ungesoma muktadha wa nilichosema basi!?
Kuna mchangiaji alisema kwanini mke wa mtu awe nje masaa yote hayo...nami nikasahihisha.Nimekoleza nini hapo?
 
inatokea kifo cha kamanda wa polisi mkoa contradiction zinatawala kuhusu kutoa taarifa za awali tu na ikumbukwe msingi wowote wa ripoti hujengwa kutoka kwenye taarifa za awali sasa vipi kuhusu pale ambapo polisi wanauwa watu kila kukicha halafu watu wanakubali kupokea taarifa kuwa watu hawa walikuwa wanapambana na polisi sasa igundulike polisi ni waongo saana na system kwa ujumla haina ukweli kwa sasa tuna wakati mgumu saana kureresha maadili kuliko kitu chochote
 
pole sana wana familia!ila jamani wanaume,yani unaiba(kama ni kweli) halafu unataka kumfikisha hadi ndani ya geti,hivi hamjui kuwa mnatuumiza wake zenu tunapojua haya mtufanyiayo nje!
 
Angalia wanavyojichanganya.

Mkuu wa Mkoa: Marehemu alikutwa na umaut alipokuwa anamrudisha Ndugu yake (Na sio Dadaake kama Mwema alivyokurupuka) Home kutoka Harusin (Na sio Kikao Cha Harusi) Akitumia Gari aina ya Toyota Hilux (Na sio RAV4)
Akaenda Mbali zaid, wakatokea watu 6 wakazingira gari la Kamanda, Huyo Mwanamke haijulikani kama alikuwa ameshuka garini ama la (Pambav zaku huyu Mkuu wa Mkoa, hayo Maelezo kayatoa wapi kama sio kutoka kwa huyo Mwanamke)
Yakatokea Mabjibishano na kamanda alipotaka kuchukua Radio Call ndipo Jamaa waka Mpiga Risasi.

My Take.
Hivi haya Maelezo hawa wahuni wameyatoa wapi kama source sio Huyo Mwanamke??????????
Yani huyo Mwanamke alikuwa hajui kama alikuwa ameshuka garini ama la By the time Gari ya Kamanda libe (RIP) Imezingirwa????
Huyu Mkuu wa Mkoa ameaibisha sana Taaluma ya Uhandisi.

Taaluma ya UANDISHI?
 
Back
Top Bottom