Picha: Nyumbani kwa The Late SACP Liberatus Barlow

Mkusa

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
549
209

25.jpg
Nyumba ya Dorcas Moses mwalimu wa shule ya Msingi ya Nyamagana ambaye alikuwa kwenye gari aina ya Rav 4 aliyopewa lifti na kamanda Ballow usiku kumrudisha kwake. Hapa Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Fredrick Katulanda akitoka kufanya mahojiano.
27.jpg
Mtoto wa kaka yake Mwalimu Dorcas akiongea kuhusiana na tukio la Kifo cha kamanda Ballow ambapo yeye ndie alikwenda kufungua geti kwa ajili ya Mama yake Dorcas aweze kuingia ndani ila kabla ya kufungua ndipo aliposikia risasi ikipigwa.
26.jpg
Hapa ni nyumbani kwa marehemu kamanda Ballow.
22.jpg
Hili ndilo geti ambapo kifo cha kamanda Ballow kilipotokea usiku wa kuamkia leo wakati mwalimu Dorcas Moses alipokuwa akirudi nyumbani kwa lifti ya gari la Kamanda Ballow.
23.jpg
Baadhi ya jamaa yake marehemu wakiwa nyumbani kama walivyokutwa na kamera yetu.
24.jpg
Jamaa zake marehemu Ballow.
6.jpg
Waombolezaji wa kike wakilia kwa uchungu nyumbani kwa kamanda Ballow leo.
7.jpg
4.jpg
5.jpg
3.jpg




Angalia wanavyojichanganya.

Mkuu wa Mkoa: Marehemu alikutwa na umaut alipokuwa anamrudisha Ndugu yake (Na sio Dadaake kama Mwema alivyokurupuka) Home kutoka Harusin (Na sio Kikao Cha Harusi) Akitumia Gari aina ya Toyota Hilux (Na sio RAV4)
Akaenda Mbali zaid, wakatokea watu 6 wakazingira gari la Kamanda, Huyo Mwanamke haijulikani kama alikuwa ameshuka garini ama la (Pambav zaku huyu Mkuu wa Mkoa, hayo Maelezo kayatoa wapi kama sio kutoka kwa huyo Mwanamke)
Yakatokea Mabjibishano na kamanda alipotaka kuchukua Radio Call ndipo Jamaa waka Mpiga Risasi.

My Take.
Hivi haya Maelezo hawa wahuni wameyatoa wapi kama source sio Huyo Mwanamke??????????
Yani huyo Mwanamke alikuwa hajui kama alikuwa ameshuka garini ama la By the time Gari ya Kamanda libe (RIP) Imezingirwa????
Huyu Mkuu wa Mkoa ameaibisha sana Taaluma ya Uhandisi.

 
Mabati ya nyumba yanafunika vitu vingi sana Smile, so usishangae, si ajabu aliaga anaenda kwenye harusi mara yamemkuta ya kumkuta
 
eti babu hata kama ni kukigawa unaweza kukirudisha saa nane na nusu usiku?
Hayo ndo matatizo ya watu kudharau social media. Anyway, it is too late ila kinga zote za wazinzi zilishafafanuliwa vizuri na wataalamu wa MMU. Waliokuwa wanakandia packages za The Boss na Teamo leo ndo watajua umuhimu wake!
 
Last edited by a moderator:
Jeshi la polisi lini mtaacha kuwaongopea wananchi mlioapa kuwalinda?mkiua raia wasio na hatia mnajidai wameuawa na vitu vyenye ncha kali,akiuawamwenzenu ktk fumanizi,kauawa na majambazi
 
watakuwa walikwisha kula tunda la kati kati, ni vema uchunguzi ufanyike ili kujua hoteli waliyoitumia usiku huo kuvunja amri ya sita, dini yangu inafundisha kuwa mauti yakikufika ukiwa unatoka kuzini basi moja kwa moja jehanamu/ motoni duh kamanda...
 
uhuuuu huyo mwalimu nae
saa nane mke wa mtu hujarudi home jaman
i?
si wangelala tu hukohuko
kweli ndoa zina mambo

Msipende assumptions kila mara.
Usiku ndio.....Walikuwa kwenye kikao cha harusi.
Isitoshe huyo mwalimu ni mjane.
 
Back
Top Bottom