Picha niliyoipenda (huzunisha), weka caption

Paw

Content Manager
Nov 14, 2010
2,109
1,360
kiduku.jpg

...................???
 
kama ni wanakwaya itakuwa ni indiketa kuwa moral decay imepiga hodi pia huko, hakuna cha dini bali ni perfomance ya kuwatukuza /kuwafurahisha binadamu ili 'mkono uende kinywani'
 
  • Thanks
Reactions: Paw
kama ni wanakwaya itakuwa ni indiketa kuwa moral decay imepiga hodi pia huko, hakuna cha dini bali ni perfomance ya kuwatukuza /kuwafurahisha binadamu ili 'mkono uende kinywani'

wacha zako wewe! hao si kwaya ya dini..ni askari wa jkt oljoro arusha siku ya muungano day pale uwanja wa uhuru ambapo kwa mara ya kwanza sherehe hizo zilipita bila hotuba ya mwenye nchi..
 
wanacheza ndombolo ya solo!?
 
viva oljoro,,,,viva mmari toka mafinga,,,,kwaya juu timu za mpira juu,,,,,,,,,inapendeza:spy:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom