PICHA: Ndege mpya za Fastjet hizi

Hatuna haja ya kukashifu na kupondea fulani kwasababu mie navyoelewa uwepo wa ndege nyingi tena za ukubwa tofauti ni faida kwetu sie wananchi. Naombea ziendelee kuja za aina zote ili kila mpandanji achague mwenyewe kulingana na utashi wake

Tusiwe kama hatukwenda shule ama sote tuna uwezo sawa.
"Mie navyoelewa", Asante kwa kuja. Jion njema
 
Sijui kama biashara kuyumba ni sababu ya kubadili ndege kutoka A319 mpk E190,mi naona jamaa wanajiandaa kimkabili 'mapanga shaaa' a.k.a ATCL maana hizo ndege za sasa za fastjet A319 zinatua viwanja 4 tu Dar,mwanza,Kilimanjaro na mbeya(songwe),ila hizo E 190 zinaweza kwenda Bukoba,Arusha,Mtwara,Tabora,Kigoma,Musoma na Dodoma kwahiyo mapanga shaa wajiandae.
Na ndo uzuri wa soko huru, waachwe washindane huku sie raia tukifaidi ushindani huu ...ni jambo zuri kwetu abiria kila mtu atachagua kulingana na uwezo wake
 
Sijui kama biashara kuyumba ni sababu ya kubadili ndege kutoka A319 mpk E190,mi naona jamaa wanajiandaa kimkabili 'mapanga shaaa' a.k.a ATCL maana hizo ndege za sasa za fastjet A319 zinatua viwanja 4 tu Dar,mwanza,Kilimanjaro na mbeya(songwe),ila hizo E 190 zinaweza kwenda Bukoba,Arusha,Mtwara,Tabora,Kigoma,Musoma na Dodoma kwahiyo mapanga shaa wajiandae.

Ila biashara ya haraka haraka inaweza ikawa shida-ndiyo maana nikinunua shati hati iweje sipendi kuangalia bei za mashati tena:
upload_2016-9-24_18-14-43.png
 
Hongereni sana Fastjet, nyinyi ni wafanyabiashara kabisa. Na ndivyo inavyopaswa. Fastjet wanabadilika kulingana na Mazingira, Nyakati na Mahitaji.

ATCL kamwe wasijaribu kuwaiga Fastjet katika mikakati yao, kwa sababu..

1/Fastjet hapa Tanzania ni sehemu tu ya Fastjet "international" ambayo iko katika nchi kadhaa Afrika, Ulaya nk. Wana mtaji mkubwa, wana uzoefu wa biashara hiyo katika kona tofauti, wana link pana sana na makampuni mengine ya Ndege duniani.

2/Wakati wowote biashara ikiyumba hapa Tanzania, Fastjet wanaweza kuondoka na kwenda nchi nyingine kufanya biashara pasipo kutikisika kwa mtaji wao wa kibiashara.

3/Wakati wowote ule, Fastjet wanaweza kuongeza ndege au Kupunguza, kubadilisha aina ya ndege zao au kuboresha huduma ndani ya ndege zao pasipo kuathirika kimtaji, kwa sababu kampuni mama ya Fastjet iko katika nchi nyingi tena ikiwa na utitiri wa ndege.
 
Njia pekee kwa ATCL kuweza kuhimili ushindani na kuweza kujiendesha kibiashara ni KUTOKA KATIKA MKONDO WA KISIASA NA KUWA KATIKA MKONDO WA KIBIASHARA. Jambo ambalo mpaka sasa silioni kabisa.

Embu tafari haya..
1/Mkurugenzi mkuu wa ATCL anateuliwa KISIASA.

2/Bodi ya ATCL inateuliwa KISIASA.

3/Ndege mpya mbili kwa ATCL zimenunuliwa KISIASA.

4/Mtaji wa kuifufua ATCL unatolewa KISIASA.

5/Uwepo wa ATCL upo KISIASA.

6/Wateja wakuu wa ATCL ni WANASIASA.

7/Usimamizi wa ATCL unafanywa KISIASA.

8/Watumishi wa ATCL kadhaa wameajiriwa KISIASA.

9/Leo hii ATCL inapendwa au kuchukiwa KISIASA.

10/Mwenendo wa ATCL unategemea mazingira ya KISIASA.
 
Mimi siyo ccm na wala sijawahi kuwa ccm ila upinzani kwa raisi huyu inabidi mjipange. Kwasababu yupo makini na anafanya mambo kwa maslahi ya taifa.
Hebu nitajie moja wapo ya Maslahi ...ya Taifa aliyofanya au kununua Ndege!,,,inamsaidia nini Mama mjamzito anaenguka kwenye Kitanda Hospital au hata hiyo hujui....
 
Magufuli hajui
Mbarawa hajui..
ATCL hawajui....

Masuala ya 'efficiency sisi watu weusi ni kama sio utamaduni wetu
Magufuli angekuwa serious angeleta wazungu kuiendesha hiyo ATCL
Hao unaotaka waje kuendesha hiyo Management wanavaa maguo ya Kijani?
 
Hongereni sana Fastjet, nyinyi ni wafanyabiashara kabisa. Na ndivyo inavyopaswa. Fastjet wanabadilika kulingana na Mazingira, Nyakati na Mahitaji.

ATCL kamwe wasijaribu kuwaiga Fastjet katika mikakati yao, kwa sababu..

1/Fastjet hapa Tanzania ni sehemu tu ya Fastjet "international" ambayo iko katika nchi kadhaa Afrika, Ulaya nk. Wana mtaji mkubwa, wana uzoefu wa biashara hiyo katika kona tofauti, wana link pana sana na makampuni mengine ya Ndege duniani.

2/Wakati wowote biashara ikiyumba hapa Tanzania, Fastjet wanaweza kuondoka na kwenda nchi nyingine kufanya biashara pasipo kutikisika kwa mtaji wao wa kibiashara.

3/Wakati wowote ule, Fastjet wanaweza kuongeza ndege au Kupunguza, kubadilisha aina ya ndege zao au kuboresha huduma ndani ya ndege zao pasipo kuathirika kimtaji, kwa sababu kampuni mama ya Fastjet iko katika nchi nyingi tena ikiwa na utitiri wa ndege.

Fastjet sio kampuni kubwa sana kwenye aviation industry kama unavyoilezea.Kampuni kubwa kwenye aviation nyingi ni za uarabuni
 
Naam, ndege imeenda shule hii. Kitu kimetulia. Ni jet engine. Yale mapanga shaaaa hata kwa bure sipandi.
Hizi siasa zimetupeleka mbali sana, cha nyumbani hatukijui kabisa, mkuu hizi nguvu ungetumia kusifia cha kwako nadhani tungekuwa mbali. Pole.
 
Usiamini sana kampuni inaposema imepata hasara mana huwa wanafanya hivyo wapate huruma ya kodi
KICHWA MAJI WEWE LEO MMESAHAU FAST JET ILIPOSEMA INAKABILIANA NA HALI YA UCHUMI NDIO MAANA WAKANUNUA NDEGE HIZO...MKACHONGA MIDOMO KAMA VINGEDERE NAKUSEMA MAGUFULI NDIO CHANZO? LEO HII UNASEMA TUSIWAAMINI FAST JET?
 
Back
Top Bottom