Picha; ndaga wilayani rungwe vurugu tupu barabara yafungwa zaidi ya saa nne

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
IMG_0008.JPG
IMG_0012.JPG
OFISI YA USHURU WA MAZAO NDAGA IMEBOMOLEWA NA KUCHOMWA MOTO
IMG_0013.JPG
IMG_0006.JPG
BARABARA YA MBEYA RUNGWE IMEFUNGWA ZAIDI YA MASAA MANNE
IMG_0007.JPG
IMG_0004.JPG
WAKAZI WA NDAGA WILAYANI RUNGWE WAMEFUNJA GETI LA USHURU WA MAZAO NA NA KUCHOMA OFISI HIYO YA USHURU KWA MADAI HAWAONI FAIDA YA GETI HILO KWANI LIMEJAA RUSHWA TUPU NA UNYANYASAJI KWA WAKULIMA
 
Huku nako watasema wametumwa na chama fulani kufanya hivyo,nchi hii kila pahala tatizo.
 
Kazi ipo huu mwaka.
Kila kona kinanuka tu. Tukimbilie wapi?
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!
Hivi baba Riz anapata usingizi
kweli????
 
Kuna mwanafalsafa mmoja sijui ni Marx au ni nani vile, aliwahi kusema ukitaka kujua mtu anareact kiasi gani basi wewe mnyonye to the maximum hapo utajua tu atarespond vipi. Hili na matukio mengi yaliyopita yanajidhihirisha kwa jinsi hii. Bado na mengine mengi tutayashuhudia.
 
Tuliwahi kuambiwa na wahenga 'Aliye juu mngoje chini!' Nadhani sasa umefika wakati wa kubadilisha usemi huu iwe
'Aliye Juu mpe mkong'oto huko huko halafu umteremshe chini'
Kinachotokea sasa Tanzania ni sambamba na huu usemi wa pili.
Watu wamechoka na wanatoa vilio vyao kila kona kwa namna wanayoweza wao!
Tuko kwenye mchakato wa kuwateremsha chini, na kibano kinaanzia huko huko juu!
 
Back
Top Bottom