Elections 2010 PICHA: NCCR - Mageuzi katika kampeni

Kibunango umeshindwa ufahamu, Zenji ni CCM na CUF
Kwa busara yako kwenye thread hii weka picha za kampeni ya CCM na CUF ili tufaidi
 
nccr%20mageuzi%20zenj.JPG

Walau wangefanya maarifa ya kuleta watu kwenye mikutano yao kama C.........!!!!!!!
 
PICHA zinasisimua
michango yenu inapasua mbavu.
Kilichobaki ni kuhamasisha watu wapende kushiriki mambo kama haya.

NCCR kilijiua chenyewe baada ya kumchagua mwenyekiti asiye active wala plan za kujenga chama. wanasubiri kudra tu.

Tunaomba jamani picha za matukio ya vyama vyote walah. nakumbuka kuna mgombea mmoja wa urais alizindua kampeni zake kituo cha daladala buguruni akawahutubia wanafunzi walionyimwa kupanda daladala.

Jamani kuweni na mipango basi....... MNATUVUNJA MOYO
 
Kibunango umeshindwa ufahamu, Zenji ni CCM na CUF
Kwa busara yako kwenye thread hii weka picha za kampeni ya CCM na CUF ili tufaidi
Nafahamu fika kuwa Zenj, ni mpambano kati ya CCM na CUF. Hata hivyo vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ni vya kitaifa, hivyo basi hupita mikoa mbalimbali kutangaza sera zao na kuomba kura. Sio vibaya kuona mwamko wa wananchi juu ya vyama kama hivyo.

Hapa chini ni mgombea mweza wa urais wa serikali ya Muungano kwa tiketi ya Nccr Mageuzi, akimtambulisha mgombea urais wa Zenj wa chama hicho...

Nccr%20mageuzi1.JPG


Btw.. Hivi TADEA bado ipo huko bara? Manake kule Zanzibar wameshachoka kugombea ubunge na uwakilishi.. Sasa wanagombea urais wa visiwa hivyo..
 
Kibs, haki ya nani tena wee nuksi!!!! nilikuwa sijacheka leo but nimelazimika...!! :becky::smile-big:
 
Mkuu Kibunango,
Ahsante sana kwa taswira hizi. Waonaje comments za wana-jf, zinagusa ulichokilenga kwa kuanzisha thread hii?
 
Mkuu Kibunango,
Ahsante sana kwa taswira hizi. Waonaje comments za wana-jf, zinagusa ulichokilenga kwa kuanzisha thread hii?
Mkuu Kahangwa,
Comments ni nzuri, kwani wengi tunapenda kuona vyama venye mvutano mkubwa ilhali kuna vyama vingine. Aidha ni vyema kujua wengine wana sera gani katika nchi hii japo kuwa hawavumi.

Sijui wewe binafsi unachukulia vipi vyama vidogo vidogo katika nchi hii..?
 
Usalama wa wasikilizaji kampeni upo kweli? maana naona barabarani maneno ya wagombea yamewachukua kabisa.
 
Back
Top Bottom