PICHA: NAPE NNAUYE KIONGOZI WA CC-CCM; Kaweka mtu Mwenye Bunduki asema ni wa CHADEMA

Wajaribu na wao kuchangisha waone kama kuna atakaye wachangia hata chapaa,wezi wakubwa
 
6113984.jpg

Toka anyimwe gwanda amekuwa na wivu wa kike sana, Nepi fanya siasa acha wivu bhana...
Naomba saizi ya Nape ili nimnunulie full gwanda manake naona kijana sasa anapotea. ni jukumu letu kumuokoa kutoka kwenye dhambi za magamba. Tumkaribishe atapona zambi zake
 
Yupi bora, anayechukua hela ndani na kuzificha nje au anayechukua nje na kuzitumia ndani?Haya yote nifitina tu kwani CCM ni wachangishaji wakubwa na kwa kiasi cha kuwalazimisha matajiri wawachangie la sivyo wanawawekea mizengwe biashara zao.Isitoshe, hata mifuko yetu ya jamii inakaribia kufilisika kwa CCM kuinyang'anya fedha kughalimia kampeni na shughuli zake za kila siku.Wakati huohuo, viongozi wake wanachukua fedha za nchi na kuzificha nje.Muda ukifika, tutawafanyia sapraizi kama ile JK aliyomfanyia mzee Kighoma Malima.
 
Nimeona hii ameposti sikuweza hata kushiriki kwenye HOJA ya HABARI zake; Sababu hazina Maana... HIVI CCM ni YA KWAKE

Waislamu Marafiki zake kwenye Facebook wote wanamuunga Mkono wanasema matatizo ni hao Wachagga; Hawajui HUYO MTU ni

MLIBYA Mwarabu na Mwislamu

Amevaa BENDERA HALALI YA LIBYA kabla ya GADAFFI kupindua NCHi 1969. Sasa Kama baadhi ya Ndugu zetu waislamu

hawawezi kuchunguza habari

Wanaamini yoyote NAPE anayosema; hatutafika kokote... na NCHI YETU na tulivyo na VIJANA ambao HAWAKUPATA ELIMU

BORA... UHASAMA utaanza...


Flag_of_Libya_1951_svg.png


The tri-colour flag was Libya’s first national flag adopted when the country gained independence from Italy in 1951.
Mkuu hilo neno umelitumia vibaya sana na jitahidi kadri ya uwezo wako uliepuke. Sijui wewe mwenzetu unaishi wapi, lakini mimi nafanya kazi na watu wengi sana, waislam kwa wakristo. Kusema kweli wapo ndugu zetu waislam wengi sana ambao wanaiunga mkono M4C. Naomba tusianze kugawanyika wenyewe kwa wenyewe, ndugu zetu waislam tupo pamoja nao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom