Mkuu ulijuaje kuwa we gari lako ni la 1350? ulihesabuje? sipati picha
Anataka nae aponywe?
Jamani jamani kuna tetesi kuwa yule mtangazaji wa clouds fm ametinga Loliondo kwa babu
Jamani kama kuna mtu kamuona kweli huko MPIGE PICHA WEKA HAPA:hand::hand:
lakini vipi waliopata huduma wanasemaje kuhusu dawa ya babu?
Mkuu Ndallo shukrani kwa taarifa.
Kuna ile barabara inayopitia hifadhi ya Ngorongoro, sina hakika kama watu wamefanyia utafiti njia hii ingawa inaweza kuwa mbali sana.
Kuna haja ya serikali kuchukua hatua mapema ili kurahisisha upataji dawa kwa muda mfupi, vinginevyo serikali hiyo hiyo inaweza kuingia gharama kubwa kutakapotokea maafa kutokana na msongamano ulioko na unaotarajiwa kuongezeka huko.
''KWAMBA ANATOKA KWA MUNGU AU KWA SHETANI SIJUI, NINACHOJUA MIMI NI KWAMBA NILIKUWA MGONJWA NA SASA NIMEPONA