Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

Then we want to know the reason why he shouldnt be moved ..is the service superstious?

....If its clearn alternative medicine service ...like chinise, indian..or any other spiritual healing service then it should follow the international standards...
GET IT VERY CLEAR
....THE SERVICE SHOULD BE MOVABLE..!!!!!!

And that is what we want to know ..is it geographical related service ..then how???

Ha ha haha JF kila kitu mnafikiri ni siasa mnahitaji maelezo....Mkuu wewe huumwi kama ungekuwa unaumwa..wewe sasa hivi wala ungekuwa hupatikani kwenye simu uko kwa babu wangoja Huduma...its all about imani...na imani zinatofautiana kati ya mtu na mtu..achilia mbali...mambo ya spritual healing...get ur money and start safari to loliondo if unaimani kweli kwani si chochote kama huna imani.
 
lakini vipi waliopata huduma wanasemaje kuhusu dawa ya babu?

nimetoka huko juzi.shemeji yangu mke wa kaka yangu alikuwa na kisukari kwa zaid ya miaka 6......amepona mkuu wangu ..amepona kabisa.....

ila kwakweli alichosema ndalo ni kwel kabisa sisi tulikaa siku 3 ya nne tukapata tiba...juice ya babu we acha tu..

ilibidi bwana ndogo yuko tanapa alikuwa na kazi ya ziada ya kusafirisha chakula hadi kule.... hakuna mawasiliano labda uwe na radio call..
 
Initially, I thought that it was just a simple joke, but you know what! A Joke cracked from the following recipe: Rumour + Gossip + A pinch of lie + A bit of Truth + Happy audience = Character Assassination! Mr. Kibonde, take care my friend coz the world is well, just like a small village. Respect others and you'll be highly respected in return!
 
babu hawezi kuhama eneo lile ..mungu alimwambia atolee huduma pale pale...ukiwa pale kwake mti unaotumika kituibu ameupanda hapo kwake na Mungu katika ndoto alimwabia usihame na watu toka mataifa mabli mbali watakuwa wanakuja kwako...waponye watu wangu...

kikuwa alichofanya ni kusogea mita mbili toka mti ulipo......na ile dawa mpaka akupe yeye.....kuna mgojwa alitoka serengeti yaani kawekwa kwenye godoro..babu akamnywesha juice ile then wakamweka ndani ya nyumba ya babu...baada kama ya nusu saa aliinuka peke na wala hakurudi kwenye godoro tena......nendeni kwa babu
 
Je, mawasiliano ya simu yapo. Namaanisha kuna mtandao wa simu unaotoa huduma huko kwa babu?

Wa Ndima kuhusu swala la Mawasiliano ni kua hakuna kabisa! hakuna mtandao wowote uwe wa AirTel/Zantel/Vodacom wala Tigo! ukiwauliza wenyeji kuhusu mawasiliano ni kama wanakushangaa.
 
Kwa hiyo ni kweli MUNGU yupo! Hahahaha eti kuna watu hawaamini miujiza, wasiende basi!!
 
Initially, I thought that it was just a simple joke, but you know what! A Joke cracked from the following recipe: Rumour + Gossip + A pinch of lie + A bit of Truth + Happy audience = Character Assassination! Mr. Kibonde, take care my friend coz the world is well, just like a small village. Respect others and you'll be highly respected in return!

Kama anaelewa, hajui chochote na huwa achukui ushauri huyo!
 
laiti kama kungekuwa na minara inayohamishika kwa ajili ya mawasiliano ningefanya mpango wa kuwekeza katika eneo hili na huduma ya mpesa kwa pembeni naamini hadi babu anasitisha huduma yake namimi nitakuwa na kazi ya kuhesabu mafao yangu
 
RE:SAFARI YANGU LOLIONDO
asante kwa info mkuu,sasa tell me is there any other short cut to that place? i have my grandpa ambaye yuko kwenye critical condition pale kcmc nataka apelekwe pale jioni ya leo pse tell me coz nimefarijika kupata first hand info from a person aliyefika kabisa kwenye eneo

Mkubwa kwakweli hakuna short cut ili ufike hilo eneo labda upande Helcopta kama walivyofanya kina Ndesa Mburo/Zito Kabwe na viongozi wengine wakubwa wa serikalini.
 
Jamani jamani kuna tetesi kuwa yule mtangazaji wa clouds fm ametinga Loliondo kwa babu

Jamani kama kuna mtu kamuona kweli huko MPIGE PICHA WEKA HAPA:hand::hand:
 
Dah! Kaka asante sana pia pole kwa mkasa huo, lakin hongera sn kwa kuwa na uwezo mkubwa wa ku-drive muda wote huo ktk barabar mbovu ivo! Big up bt pole sn kwa 7bu hujapata kile kilchokupeleka! Yan umenfanya npumue kwa nguvu mara baada ya kumalza kusoma hi info. Bt jpange fresh bila shaka kpnd kngne utafankiwa.
 
Mkubwa kwakweli hakuna short cut ili ufike hilo eneo labda upande Helcopta kama walivyofanya kina Ndesa Mburo/Zito Kabwe na viongozi wengine wakubwa wa serikalini.

Hii ni kufoji. Kuna utundu wa IT umefanyika hapa
 
laiti kama kungekuwa na minara inayohamishika kwa ajili ya mawasiliano ningefanya mpango wa kuwekeza katika eneo hili na huduma ya mpesa kwa pembeni naamini hadi babu anasitisha huduma yake namimi nitakuwa na kazi ya kuhesabu mafao yangu

wazo zuri. Au kujenga lodges fasta fasta.
 
Mkubwa kwakweli hakuna short cut ili ufike hilo eneo labda upande Helcopta kama walivyofanya kina Ndesa Mburo/Zito Kabwe na viongozi wengine wakubwa wa serikalini.

I see nao wameenda si mchezo.
 
Back
Top Bottom