Bora akatibiwe ugonjwa wa kichwa na ubongo uanze kufanya kazi!
Kwa taarifa yako kabineti nzima imeisha kunywa dawa kwa babu pamoja na waziri wa afya.........ulitaka dawa hii itoke Ulaya?????Crap bin Pumba hizi mara sijui viongozi hawashughulikii shida za wananchi wakati thread ni dawa ya babu wa loliondo na legitimacy yake. Mara tutakuwa machizi na vichaa utafikiri wewe ndio mungu uliyetuumba wakati sie wengine tunakuzibua masikio na macho ujue kuwa huo ni ushirikina tu hakuna zaidi. Ndio tunataka tafiti za kisayansi na sio babu sangoma analeta mauza uza yake tuende kunywa tu tukidhurika je ....
Kwa taarifa yako kabineti nzima imeisha kunywa dawa kwa babu pamoja na waziri wa afya.........ulitaka dawa hii itoke Ulaya?????