Picha na Matukio: Mkutano wa CHADEMA Dodoma

Me nkajua uwanja wa Jamuhuri nao utajaaa kama vile vya NMC jamani ndugu zangu bhalibaho mumeniangusha ila ntakuja huko DOM kwa ajili ya 2015 hapo mjini
 
Kila mmoja taabani kuliko mwenzake, mleta mada nakupa ushauri wa bure, siku nyingine ukibandika picha uwe unajuwa unachokifanya, watu huwa hawabandiki tu, hubandika picha kwa maana. tazama hii walivyochoka:
photo.jpg

Halafu hii ndio, duhhh, hata hana habari na audience na audience wenyewe hawana habari na msemaji, tazama kushoto wako bize wanaoneshana simu mpya:
photo2.jpg

FF Nikweli unachokisema.
1. Ni ukweli usiopinga kuwa tumechoka na udhalimu unaofanywa na Serikali legelege ya Magamba.Wananchi wanapata shida kila leo,gharama za maisha ziko juu,mishahara ya watumishi mnawacheleshea na bado mnawakata bila sababu za msingi,kuna wanafunzi kibao waliochaguliwa kuingia vyuo vikuu wameshindwa kusajiliwa kwa kushindwa kulipa sehemu ya gharama za ada na mengineyo,wakati wenzetu mko mnayoyozika na laptops za mamilioni na maposho kibao mnajimegea,raha tutatoa wapi?Ni lazima tuchoke na hili liserikali lenu dhalimu..
2. Pamoja na kuwa picha zangu hazina ubora kama unaoutaka wewe au baadhi ya watu hapa,lakini angalau nimeweza kuwaonyesha kidogo tu ya kilichojiri kwenye mkutano wa jana na ninashukuru kuwa bado na wewe umekuwa mchangiaji mzuri kwenye sredi hii.
3.Nitaendelea kurusha picha ziwe nzuri ama mbaya zinazohusu matukio ya CHADEMA billa kujali ubora wa picha hizo,mi sifanyi biashara wala sio mpiga picha wala sitokei Magamba mnaotaka picha zakutengeneza..Im alywaz natural and i like natural things,watch my steps!
 
Halafu hii ndio, duhhh, hata hana habari na audience na audience wenyewe hawana habari na msemaji, tazama kushoto wako bize wanaoneshana simu mpya:

!
photo2.jpg

Endelea kuishi kwa matumaini,wenzako ndio tunayoyoma hivyo
 
Alifikiri unaingia na kutoka anapotaka yeye? amuulize Mwenyekiti wake walimfanya nini? alikesha central. Sasa na yeye asubiri sheria ifate mkondo.

Haswaa..!! wanadhani upinzani ni vurugu na kujiamulia mambo watakavyo!
 
Back
Top Bottom