PICHA na Maelezo: Yaliyojili Mkutano wa Nape na Mwigulu hapa Igunga

Mwigulu na Nape wameonyesha jinsi ujana wao ulivyokuwa hauna tija. Wanaongea mambo ya kipuuzi na fikra zao mgando. Wote wanatoka huko wilaya ya Iramba.

Sijui hii imekuwa na nuksi gani kuzalisha kizazi kilicholaaniwa kikaacha kutumia akili na uhalisia na kujikita kwenye njozi. Hivi kuna mzinzi kama Mwigulu ambaye aliponea chupuchupu kuumbuka Igunga?

Kama ni uzinzi na ubabu basi akamuulize bosi wake ambaye ana kila aina ya watoto toka mama mbali mbali kiasi cha kuogopa hata kutaja idadi ya watoto walio nao. Akawaulize akina Wassira na Masaburi waliojirundikia vimada kama hawana akili nzuri.

Mwigulu na Nape wanapaswa kuongelea issues badala ya personalities. Hii ni dalili ya kuchakaa na kufilisika kifikra.

Pia komba na under-eighteen wake (lulu)
 
attachment.php

Kama hadi huyu ameondoka ujue kazi yao imeisha sasa watabaki kuwa wapinzani baada ya 2015.

mbona huyu inaonesha ndo alikuwa anaenda kwenye mkutano mana hapo si mazingira ya uwanja wa mkutano, mbona hajatuonesha huyo mwigulu na nape! na mbona picha ya juu kabisa kwenye jukwaa kuna mtu m1 nape na mwigulu hawapo, embu tujaribuni kuzifikiria hizi picha, hata kama tunawakosoa hawa jamaa tusije tukawa na sisi vichwa maji bure kwa mjinga mmoja kutuweke vitu ambavyo haviendani na ukweli! mbona picha za kushikiana bastola tumezipata hii ya wao kuhutubia hatuioni?

na zaidi huyo dada hapo mbele anaelekea ndo anakwenda kutafuta riziki yake kwenye huo mkutano kutokana na hizo bidhaa zake kwenye mkokoteni. mkuu INTELLEGENCIA ya wana jf haiko kimajungu majungu wala ki mabwepande mabwepande aisee!
 
Haya maneno wanayrudia mara nyingi sijui kwanini na naona hawachoki kuyasema, tumewasikia jamani kaeni kimya basi kama hakuna jingine la kuzungumza.
 
R.I.P. CHAMA CHA MAFISADI, 2LIWAPENDA ILA MUNGU KAWAPENDA ZAIDI. Ha2na budi kuwaombea mlale pema peponi ameen!
 
Aweke video tusikie. Aweke na picha anapohutubia. Anatuwekea picha kabla ya Mkutano. Kama si uongo ni nini?

Hata ukiwekewa video si ajabu ukasema ni mkutano wa Arumeru, picha ndo kabisa hutachelewa kusema Photoshop. Chunga tu afya yako jombaa, hizi ni siasa tu. Hapana pata presha na kupandisha sukari bcoz of these things. PERIOD.
 
Juzijuzi mkuu wa wilaya ya igunga alikosa watu kwenye mkutano ikabidi ahairishe kikao hicho, ndipo alipo mvaa bwana Hamis maji ya moto katibu wa cdm wilaya akimtaka aache kugomesha wana nchi ambao wameonekana kumnyima ushirikiano kila anapo kwenda, alimtaka katibu huyo amkusanyie watu yeyd aje kuhutubia.
 
11. Mnamshangilia Kasulumbai mnajua historia yake anakotoka, Akimwangalia tu mtoto wako anakufa.

Hii point yao namba 11 ndo imeniacha hoi. Kweli "Ubora wa nyavu ni matundu yake"
 
another sick person, caught live! pathetic! rip ccm!

For sure this is pathetic Mkuu! Hii mikutano najua huwa ina attract people of different ages. Imagine a kid of 6yrs forced to feed his/her brain with this stuff. Disgusting! Oh me ooh my! Where are we heading jamani.
 
11. Mnamshangilia Kasulumbai mnajua historia yake anakotoka, Akimwangalia tu mtoto wako anakufa.

Hii point yao namba 11 ndo imeniacha hoi. Kweli "Ubora wa nyavu ni matundu yake"

Siasa bana. So CCM kuna ma handsome boys, akiangalia maiti ya mtoto anafufuka.

Hivi Nape na Mwigulu ni wazuri eehn?
 
nilichoona kwenye picha hakuna aliyekuja mkutanoni isipokuwa wapita njia wameona stela wo wo wo wakasimama kushangaa uoni mausafiri yapo tiyari kun'goa nanga?
 
Back
Top Bottom