picha na habari: mwanajeshi achezea kichapo toka kwa traffic police




MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama barabarani mjini Moshi ambao majina yao hayakufahamika wakimpiga askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) katika kiktuo kikuu cha mabasi mjini hapa hivi karibuni,baada ya kutokea kutoelewana,mwanajeshi huyo alikuwa akimtetea dereva wa Hiace aliyeshikwa na trafiki hao



MAKAMANDA WA CHADEMA HAWAKUPATIKANA WAKAMSAIDIA MVAA MAGWANDA MWENZAO???
:smile: :smile:
 
Nguvu ya mamba iko majini. Wajeda huwa na nguvu wakiwa wengi. Hapo mjeda katingwa na mtu mbili...
 
Mungu wangu!!!Traffic wa Moshi wajiandae maana hii mijamaa inavyopenda sifa,
wataibuka na kupiga kila traffic wanayemuona bila kujali ndiye au siye stay tuned....
 
katika majeshi yote hapa nchini ni trafiki pekee ndio wanaokula pesa kwa jasho halali, jinsi wanavyokabiliana na kadhia ya kuongoza magari kila siku kwa kweli wana deserve credit with few expectionals!!! nadhna kila siku walikua wanaonewa sana na hawa wanajeshi so walitoa fundisho kidogo!!!
 
Nguvu ya mamba iko majini. Wajeda huwa na nguvu wakiwa wengi. Hapo mjeda katingwa na mtu mbili...

si kweli kama kawiva katika mafunzo yani hao ilikuwa ni kitu rahisi sana kwake kuwapa kichapo, huyo labda alikuwa ana wiki mbili jeshini ama ni mtu tu kavaa hayo mavazi, chezea jeshini weye.

yani wa ukweli akunjwe kirahisi hivyo, kizembe, kitoto kama kibaka haiwezekani.
 
yani angekuwa fit huyo ungeona movie kali sana hapo yani natamani ningekuwapo eneo la tukio. tetetetettee
 
na kwa sababu mapolisi wanajua balaa la hawa watu ndio maana mara nyingi hukaa nao mbali na kuonewa lakini hawa wanajeshi huwa wanajitahidi kuwa wastaarabu baadhi yao wengine hujifanya kama vile wao ndio nchi yenyewe. kwa muda mrefu mahusiano kati ya polisi na JWTZ huwa ni ya kuviziana.
 
Mjeda utampiga leo...lakini subiri baada ya muda fulani upite wakati watu wameshasahau, itapigwa ambush moja ya kufa mtu
 
yani angekuwa fit huyo ungeona movie kali sana hapo yani natamani ningekuwapo eneo la tukio. tetetetettee

Iron Lady: Kwanza huyo mjeda hakutarajia kwamba hao traffic police wangepata ujasiri wa kumtembezea kichapo, kutokana na mazoea, wajeda ndo hutembeza mkong'oto...atakwenda tu kuwasemelea kwa wenzake huyo!
 
Askari JWTZ legelege na dhaifu....?Kuna nadharia hii eti Wajeda ndo askari na polisi ni raia wakakamavu! Ila kwa tukio hili naona kinyume chake ni kweli?
 
Kuna jamaa yangu yeye akisikia kuna ngumu Labda Ubungu, yaani atakama yupo tabata ata kodi tax ili akashuudie.
 
huyo mwanajeshi atakuwa bado yupo kwenye mafunzo! huenda likawa nili mtoto wa brigedia au captain ambaye amezoea kutafuniwa!!
...Kuruta wale wanaopitia kwanza JKT ndio waingie JWTZ. angekuwa mjeda origina kingeeleweka tu hapo na hao mamwela!!!!...
 
siku za mwizi arobain siku hizi baada ya Matrafiki kupewa kibano nao wameenda mazoezini , trafiki hawa mabansa naona wanafanya kweli, nadhani trafiki Samweli aliyepewa kibano pale surrender atakuwa amefurahi sana
 
Afadhali kachapwa maana hawa jamaa huwa wanajionaga wapo juu ya sheria kila mara na kuingili kazi za wenzao na kujifanya wababe sana.hapo trafiki na nyiekazeni kama bunduki na nyie si zipo wakija wafanyieni kweli kama mbwai mbwai tu.wote nyie ni askali wa taifa hili hakuna wa kumnyanyasa mwenziye hapa.
 
Back
Top Bottom