Picha: Mwenyekiti wa CHADEMA alivyochinjwa... [Extreme Images]

Kama sheria ya kusajili line za simu inafanya kazi sawasawa, na kama kweli Polisi wanafanya kazi ipasavyo basi nitashangaa sana kama wauwaji hawatakamatwa.
 
Sawa jamani, tumeona unyama wa kishetani kabisa huu!

Ila Mods please ondoeni hizo picha naona imetosha, itakuwa sio kumtendea haki marehemu..

Please, inasikitisha na kutisha sana!! Mwadamu unamtendea mwenzio hivi??!!

Kweli kama mambo haya yamefanywa na CCM, tujiande kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe!!!

Hii haikubaliki katika ulimwengu wowote ule wa binadamu...........!!!

AGH!! Adhabu gani hii, basi wange mla kabisa tujue moja kuwa hao ni wala watu!

......

....
 
Lo!waliofanya unyama huu Mungu awalaani maisha yao yote.Roho ya kishetani tu ndiyo inaweza kuua binadamu .Inasikitisha sana
 
...nadhani huu si wakati wa kushangaa, kulialia, kumlaumu shetani, na kumlalamikia Mungu. WAKE UP! PEOPLE.
5 people have already been killed mysteriously.
 
...nadhani huu si wakati wa kushangaa, kulialia, kumlaumu shetani, na kumlalamikia Mungu. WAKE UP! PEOPLE.
5 people have already been killed mysteriously.

Mauaji kama haya tuliyashuhudia yakitokea nchi jirani wakati wa uchaguzi wao, Je haiwezi kuwa raia wa nchi fulani wanakodiwa kufanya uhalifu? Ikumbukwe pia cost ya free movement of people ( I mean free movement of maharamia) hasa kutoka nchi jirani.

Why and why walio nchi jirani wanang'ang'ania kuja Tanzania?
 
huu ni ushenzi na nchi imekua ya ushenzini...kifuatachoooooo mtakiona 2015...na km sisiem hawaachiii uongozi sijui itakuajeeee......
 
MKUU hata kama yangekuwa mambo ya KISIASA hakuna mtu mwenye amri ya kuondoa uhai wa mtu mwingine kwa SABABU YOYOTE ILE ACHILIA MBALI MAMBO YA KISIASA> Nadhani polisi wanapaswa kuacha kubeza matukio haya na kutuambia uchunguzi wao umefikia wapi hadi wauaji waletwe mbele ya sheria, otherwise kama ni mambo ya kisiasa yakiachiwa kuwa ya kisiasa tunaelekea Rwanda na Burudi na matokeo yake sio mazuri. Huu ni moshi na lazima polisi itusaidie kugundua na kuuzima moshi kabla moto haujawaka! Maana anauawa mtu mmoja mmoja kisha yatakuwa makundi ya watu. Vema polisi kufanya uchunguzi na kuondokana na kauli za mambo ya kisiasa wakati uhai wa watu unapotea!!!:nono:
sasa kama polisi wameshaanza kusema haihusianai na mambo ya kisiasa inaelekea walisha fanya uchunguzi wa kifo cha Mbwambo hata kabla hajafa......
 
Back
Top Bottom