Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,482
- 9,517
Kajipange wewe zinja, hueleweki ujueInani kumbusha maandamano yaliyokuwa yanatokea UK baada ya conservative kuanza na sera zao za mikato. Hawakuwafuata wananchi kwa sababu wanajua kwenye kisiasa kuna maamuzi ambayo hayato kuwa popular na watu wote.
Kwakuwa walijua wachochezi wa maandamano ni union, na union ndio wachangiaji wakubwa wa labour wao moja kwa moja wakamvaa 'Ed Miliband' for cheap politics za kutaka popularity through mgongo wa union and their irresponsible demands wakati mikato ilikuwa justified kupunguza government borrowings.
Jamaa walimvaa 'Ed' sio tu kwa sababu ya kutafuta umaarufu, bali kwa sababu 'Ed' anajua tosha hata yeye angekuwa prime minister fujo zinapozidi kwenye maamuzi ya serikali na kuna hatari kwa afya ya taifa anajua kitakacho fuata.
kwa maana hiyo viongozi wa upinzani wanajua wana uwezo wakubadili sera kupitia ushindi wa uchaguzi utakao fuata na kama wao wataingia baadae.
Na kwa sasa wanajua tosha serikali itakavyo deal na hawa watu wakizidi kwa hivyo kitendo cha wao kukaa kumya bila ya kuwaelesha maamuzi ya kisiasa kwa watu wasio elewa maamuzi ya serkali na kusubiri fujo zitokee hili wapate kuonenkana mbadala is just cheap politics.
kwa sababu sote tunajua it is clear wakiendelea kichapo kitaenda mtwara, kwa maana hiyo upinzani unasubiri hicho tu, huko ni kukosa sera na hoja na si kujenga bali kubomoa taifa kwa uchu wa madaraka.
Last edited by a moderator: