Endeleeni kujifariji lakini hata kama miradi ni ya WB anaye - score political points ni yeye, BTW si kazi ya Mbunge kutoa pesa mfukoni na kuleta maendeleo jimboni! Ukiendelea na perception hiyo utaendelea kupiga kura kwa Kanga na kofia na wewe na wajukuu zako mtakuwa watumwa wa kina Rizwani mpaka utimilifu wa dahari.
Vinginevyo "go & eat a Coke"
huyu jamaa anakalia kusimama kwenye mikutano tu wakati jiji limejaa vumbiii hakuna ahadi kubwa aliyoahidi kaitekeleza na ujenzi wa barabara kwa sasa sio yeye ni project za world bank na hana influence yoyote kufanyika kwa izo project..na 2015 atang'oka hana lolote

hiyo picha iko wapi mkuu au ni mimi tu siioni
Mkuu unakaukweli kidogo nazikumbuka sana baadhi ya ahadi zake mfano
1. Kutafuta computer 1000 na kuzigawa mashuleni
hakuna kilichotendeka
2. Kuongea na wamiliki wa magari ili wazee wapande bure magari yao - labda hii ili sababisha wazee wampe kura zao
hakuna utekelezaji
3. kujenga barabara iendayo makaburini na machinjio mpya
hakuna kitu
4. kuanzisha mradi wa ufugaji samaki
nasikia mabwawa 2 yameanzishwa Igawilo na Nsalaga
5. kuanzisha/kufufua bandari kavu ili kupanua uwigo waajira kwa vijana
hatujui kinchoendelea hadi sasa
ingawa huo ujezi wa hizo barabara alikuwa anazunguzia na hii ndiyo inmpati chati kubwa sana Mbeya maana hakuna kipindi ambacho barabara zimejengwa kwa wingi kama sasa hapa Mbeya
etc
Mbeya na CHADEMA mpaka mwishosana kaka kawadanganya sana wanambeya na hapo umesahau kuuza gari la mkuu wa mkoa..duh kuna raha yake kutawala taifa la mambumbumbu
Picha zipo, labda mitambo yenuMkuu siyo kwa sababu unatumia simu, mimi nipo kwenye desktop lakini sizioni hizo picha! Mleta uzi mwaga hizo picha toka jijini!
Mh. Mbunge akiwasili kwenye eneo la mkuntano...
Umati wa wananchi waliokuwa wakimsubiri Mbunge wao...
Mh. Sugu akijiandaa kupanda kwenye meza tayari kuzungumza na wananchi wa kata ya Igawilo iliyoko bonde la Uyole Mbeya Mjini...
Mh Sugu akihutubia umma...
Umma ukiripuka wakati Mbunge wao Sugu akizungumzia harakati za maendeleo Mbeya Mjini...
Ikikukera "go & eat a coke"