PICHA: Mkutano wa Sugu Igawilo, Mbeya!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
IMG_0534.JPG

Mh. Mbunge akiwasili kwenye eneo la mkuntano...
IMG_0536.JPG

Umati wa wananchi waliokuwa wakimsubiri Mbunge wao...
IMG_0539.JPG

Mh. Sugu akijiandaa kupanda kwenye meza tayari kuzungumza na wananchi wa kata ya Igawilo iliyoko bonde la Uyole Mbeya Mjini...
IMG_0542.JPG

Mh Sugu akihutubia umma...
IMG_0564.JPG

Umma ukiripuka wakati Mbunge wao Sugu akizungumzia harakati za maendeleo Mbeya Mjini...

Ikikukera "go & eat a coke"
 
niliwahi toa ushauri hapa kuwa chadema wanapo fanya mikutano yao watafute makubwa sana ili watu wakae kwa raha nina uhakika wengine hawakuwa na taarifa za mkutano huu vinginevyo sijui ingekuaje

asante mkuu kwa taarifa na picha
 
Nashangaa sijui zimetoweka au?? Ngoja nizilete upya!! Naona kuna hujuma hapa!
 
Mkuu siyo kwa sababu unatumia simu, mimi nipo kwenye desktop lakini sizioni hizo picha! Mleta uzi mwaga hizo picha toka jijini!

Nimezirudisha! Zikitoweka tena MODS tafuteni anayehujumu!
 
niliwahi toa ushauri hapa kuwa chadema wanapo fanya mikutano yao watafute makubwa sana ili watu wakae kwa raha nina uhakika wengine hawakuwa na taarifa za mkutano huu vinginevyo sijui ingekuaje

asante mkuu kwa taarifa na picha

Huna habari ccm wanamkakati wa kugawa maeneo yote ya wazi ili kuzuia mikusanyiko inayowanyima usingizi
 
huyu jamaa anakalia kusimama kwenye mikutano tu wakati jiji limejaa vumbiii hakuna ahadi kubwa aliyoahidi kaitekeleza na ujenzi wa barabara kwa sasa sio yeye ni project za world bank na hana influence yoyote kufanyika kwa izo project..na 2015 atang'oka hana lolote
 
Mimi mwenyewe nilikuwepo mkutanoni, wananchi wapiga kura walimsubiri Mr Sugu kwa zaidi ya masaa 2. Mwisho wa hotuba yake mwenyekiti wa Mtaa wa Mwanyanje kata ya Igawilo alivua gamba na kuvaa gwanda na wanachama wenzake 7 papo hapo na kuokolewa toka msitu wa mabwepande. Hongera sana Mr Sugu.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
kama ni kweli na sio porojo basi Viwanja kama Biafra,Jangwani,Mwembe Yanga n.k. vitakuwa kwenye top list yao.
 
huyu jamaa anakalia kusimama kwenye mikutano tu wakati jiji limejaa vumbiii hakuna ahadi kubwa aliyoahidi kaitekeleza na ujenzi wa barabara kwa sasa sio yeye ni project za world bank na hana influence yoyote kufanyika kwa izo project..na 2015 atang'oka hana lolote

Endeleeni kujifariji lakini hata kama miradi ni ya WB anaye - score political points ni yeye, BTW si kazi ya Mbunge kutoa pesa mfukoni na kuleta maendeleo jimboni! Ukiendelea na perception hiyo utaendelea kupiga kura kwa Kanga na kofia na wewe na wajukuu zako mtakuwa watumwa wa kina Rizwani mpaka utimilifu wa dahari.

Vinginevyo "go & eat a Coke"
 
duh wewe unaendeshwa na kelele za helicopter na maandamano nothing to display brother
 
huyu jamaa anakalia kusimama kwenye mikutano tu wakati jiji limejaa vumbiii hakuna ahadi kubwa aliyoahidi kaitekeleza na ujenzi wa barabara kwa sasa sio yeye ni project za world bank na hana influence yoyote kufanyika kwa izo project..na 2015 atang'oka hana lolote
Mkuu unakaukweli kidogo nazikumbuka sana baadhi ya ahadi zake mfano

1. Kutafuta computer 1000 na kuzigawa mashuleni
hakuna kilichotendeka

2. Kuongea na wamiliki wa magari ili wazee wapande bure magari yao - labda hii ili sababisha wazee wampe kura zao
hakuna utekelezaji

3. kujenga barabara iendayo makaburini na machinjio mpya
hakuna kitu

4. kuanzisha mradi wa ufugaji samaki
nasikia mabwawa 2 yameanzishwa Igawilo na Nsalaga

5. kuanzisha/kufufua bandari kavu ili kupanua uwigo waajira kwa vijana
hatujui kinchoendelea hadi sasa

ingawa huo ujezi wa hizo barabara alikuwa anazunguzia na hii ndiyo inmpati chati kubwa sana Mbeya maana hakuna kipindi ambacho barabara zimejengwa kwa wingi kama sasa hapa Mbeya

etc
 
Back
Top Bottom