Picha: Mkutano wa CUF Dar wafurika

Cuf hakuna mkristo hata 1 ila chadema tupo dini zote

Wakristo wamekatazwa kujiunga na cuf?? nipe kipengele cha katiba ya cuf inayokataza hayo??

Kwa wakristo kutokujiunga na CUF inaonyesha walivyo wadini..

Besides huo ni uwongo mtakatifu; chadema waislamu wabeba mabegi ya wakristo tu hawawezi kuwa viongozi top leaders watasubiri sana..
 
Wakristo wamekatazwa kujiunga na cuf?? nipe kipengele cha katiba ya cuf inayokataza hayo??

Kwa wakristo kutokujiunga na CUF inaonyesha walivyo wadini..

Besides huo ni uwongo mtakatifu; chadema waislamu wabeba mabegi ya wakristo tu hawawezi kuwa viongozi top leaders watasubiri sana..

CUF wao iko wazi lazima uwe Islam vinginevyo utakuwa kama Mtatiro aliyeslimishwa
 
Cuf hakuna mkristo hata 1 ila chadema tupo dini zote

Katika masharti ya usajili wa chama cha siasa hili la kuwa chama kiwe na uiano wa dini mbali mbali halimo.
Masharti ni kuwa kiwe na wadhamini na wanachama kutoka sehemu mbili za Muungano.

Je CUF wameeka kikwazo au kupiga marufuku kuwa mtu asiye na dini au mhindu,mkristo au muabudu vibudu hawezi kujiunga na chama hicho?

Pia raia,wananchi wana uhuru wa kujiunga na chama anachojiamulia...ni non issue kwa wapenzi wa vyama vya (ruzuku) siasa kujipima kujiunga kwao kwenye vyama kulingana na imani za dini wanazoabudu.

CUF na CHADEMA wananasa katika mtego wa CCM. CCM ndio wanatumia mkakati huu wa kukipachika chama cha upinzani kuwa ni chama cha kidini.

Na huu mwenendo unaofanywa , sisi dini zote, ninyi waislamu, ninyi wakristo ni kwa maslahi ya nani?
2014 itafika hakutakuwa na Katiba mpya inayokubalika na tume ya Lubuva inasema hawatakuwa na jipya kama mfumo na sheria hazikubadilishwa.

Endeleeni na hide- and- seek yenu.
 
Mkuu wangu unapoulizwa swali na SISI na WALE lazima ulijibu kwa sisi na WALE kama unavyolitazama..... nachokiona ni machungwa mawili..

I like your spinning skills, sir.

Vyema kama unaona machungwa mawili...nilifikiri unaliona chungwa moja tu! cheers! :lol:
 
Ni dhahiri chadema nacho ni chama cha kidini lakin dola inaendelea kuichekelea

Chadema kimewahi kuwakejeli wazanzibar na hata kuwavua hijabu wanawake waislam hadharani

Wananchi wanawakenulia menu full time ajabu..chadema??
Duh!
Tumain amepotea lakini yupo...lol
 
The problem ni kwamba some people cant live side by side with others, lazima wengine wawe inferior!

I really hate this shit.
 
mkuu naelewa sana na nimesema hivyo kutokana na dhana ya ngekewa. Madai yake ni kwamba ukishamkubali mwenyezi mungu na mtume wake (shahada) basi wewe tayari ni muislaam hivyo mengine yote ya kuasi na hayakuondoi ktk uislaam ila pale tu unapofanya kufur. Na ndio nakamtalia maneno hayo maana wengi tulifundishwa hivyo na tukaaminishwa hivyo..

Ni makosa ambayo sote tunayafanya na yametumiwa sana na wanasiasa kuitumia dini ya kiislaam to their advantage..nikisikia kadogoo anaitwa suleiman basi huyu muislaam, ndugu yangu lazima nimpe tafu, kumbe uislaam ni maisha unayotakiwa kuishi (way of life) ili uwe muislaam tofauti na imani ya wakristu ambayo ukishamkubali yesu kama mwokozi basi wewe utaokoka maana yeye tayari kisha beba mzigo wako kwa kujitoa mhanga msalabani.

Ni makosa ambayo waislaam wengi hutafsiri dini hii kutokana na influence ya ukristu ktk maisha yao bila kujua kwamba uislaam ni dini inayosimama peke yake na wakristu ni watu (society) wasiokuwa na dini ila wale waliomfuata yesu na wakaitwa wakristu (christians) wakati waislaam hawaitwi muhammadans. Pia jews ilikuwa dini yaani imani leo hii imebadilishwa na kuwa society ya kizazi cha daud sio tena followers wa mafundisho..

Na ndio nikamwambia uislaam sivyo hii ni dini inayojitegemea, wewe binaadam unaposhahadia ni presupposes kufuata sheria zake haina maana zaidi hata muislaam safi anaposali sala tano hutoa shahada kila siku..uislaam ni way of life and you got to live that life to be a muslim...it's total submission to god haina njia za mkato kufikiria kwamba uislaam ni kama uraia ukisha tiwa maji basi you are muslim...
Utaniuwia radhi mkuu wangu sina ujuzi wa kufupisha wala kuelezea vitu kinagaubaga lakini nachotaka kusema tu ni kwamba ile dhana walotujenga wazee wetu kuamini uislaam ni watu sii kweli bali sisi watu ndio huingia uislaam na tunatakiwa kuishi kama kitabu kilivyotuamrisha nje ya hapo unatoka ktk uislaam.

sawa nimekupata hapo, ila unakubaliana na dhana ya baadhi ya watu kuwa cuf kinanasibishwa na watanzania wenye kufuata dini ya kiislamu na chadema wakristo?
 
Back
Top Bottom