Picha: Mkutano wa CUF Dar wafurika

Wewe anza kujibu kwanza, maana ndio ulianza na blank allegation kwamba hawa jamaa (meaning) CUF wenye akili timamu wanajua wanfanya siasa za aina gani? nami nikakujibu kuwa hata sisi CUF wenye akili timamu tunajua nyinyi mnaendesha siasa za namna gani?

Hembu anza wewe kujibu ni siasa zipi nyie wenye akili timamu mnazijua cuf wanafanya??

Siasa zao ni kuwa kibaraka wa CCM
 
Tatizo lako hueleweki mkuu..

Kama una differ na maalim na Jussa kama viongozi wa CUF na siyo CUF as an Institution tuko pamoja kwasababu hata mimi nina reservation zangu nyingi kwa viongozi kadhaa wa ccm na cuf hiyo ni kawaida ..ukitaka kwenda beyond that sintakuelewa CUF ni insitutiton yenye watu wengi sana na kila mkoa..

Kama ambavyo mimi nina reservation na Slaa na JJ Mnyika siyo na Chadema kama Insitution ikitaka ni kwanini huo ni mjadala mwingine kabisa..tunaongelea instutitions..na viongozi wake wanasimamia nini na wanaonaje wananchi wengine; kama ambavyo wewe unawaona maalim na jussa kama vile hawawapendi watanganyika; mimi namuona Slaa na Mnyika kwa wasalaiti wakubwa kwa waislamu wa Tanzania kwa kutumia institutions kama sehemu yao ya kudandia..na their ill-intentions..

Chadema haitosaidia MoU; ina fact watawaongezea kanisa deal zingine sasa sijui unapiga kelele za nini uko kwenye very wrong personalities na institution..

Hivi kwa maana yako Igunga ina waislam 2000 tu kama kura mlizopata?
 
Mkuu mbona unaweka maneno yako kwangu; mimi sijasema kwamba Jussa na Seif wanawasaliti waislam NO! nimesema nina reservation kama viongozi wa CUF kama taasisi ya kisiasa period! kama ambavyo nina reservation kwa viongozi wa chadema Slaa na Mnyika..

oh unaniuliza kwa vipi Dr. Slaa anausaliti waislam na uislam, mkuu nimeshaenda ofisini kwake mara nyingi tumeongea mambo ya siasa na dini ana chuki ya kufa mtu na uislam ..

Umekuwa na hofu kwa vile mnayemuona Mtume wa cuf katajwa?
 
Hata sisi wenye akili timamu tunajua siasa wanazoendesha chadema; tunajua mna ajenda gani kuhusu zanzibar, tunajua mansukumwa na mna ajenda gani kuhusu uislam na waislam..

msidhani mnawaweza kuficha tena, too late bro

Chuki yenu kwa watu wa Tanganyika ndio maana mmeporomoka kutoka chama kikuu cha upinzani hadi kuwa CCM B.Igunga ndio mkawa kituko kabisa
 
Sasa kama CUF wanakimbia na wanachama si ingekuwa furaha kwenu chadema? mbona kila kukicha mko juu kuwaita majina??

Nafikiri wamewashika pabaya that is why mnaota CUF badala ya kuhangaika na CCM, otherwise uniambie mnahangaika na CUF kwasababu ya uislam wao? na nyie na ukristo wenu??

Tukiimaliza CUF tumeimaliza CCM.Mume aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke
 
Ha ha ha

Wewe ndio hujui siasa kweli, kwahiyo Bukoba CUF iliondoka kisa kaondoka Lwakatare?? mistake kupata wabunge ndio kila kitu unadhani uliza kuna wenyevit wa mtaa na kijiji wangapi Tanzania Bara nzima second after CCM..upo?

Chadema ni wimbo mpya na kupata wabaunge wengi safari haina maana CUF haitapata chaguzi zijazo? mistake (or rather wishingfull thinking)

Chadema cha cha Wakristo, hakina hata mwenyekiti wa mtaa maeneo ya waislam na zanzibar? wakristo na ukristo mtupu embu angalia wanavyo sema ovyo kuhusu madai ya waislam wa Tanzania na ku-support matamko ya maaskofu..lol (you can't fool people all the time)

CUF siyo chama cha waislam ni chama cha Watanzania wote; Zanzibar, Pemba, Lindi, Bukoba, Dodoma etc.. pia... kipi kigumu hapo kuelewa??

Acha kuweweseka wewe.Hata mfanye nini Tanganyika haitakufa.Eti madai yenu sasa ni Rais wa Tanganyika awe Mpemba.Idiot!
 
Siasa za Tanzania ni kama kula muwa tu huna haja ya kuchagua uanze kule upande upi!

Utajasikia mengi tu baadae.

Kwa Mtaji huu CCM Itatawala hadi mseme Po!
 
Ha ha ha

Wewe ndio hujui siasa kweli, kwahiyo Bukoba CUF iliondoka kisa kaondoka Lwakatare?? mistake kupata wabunge ndio kila kitu unadhani uliza kuna wenyevit wa mtaa na kijiji wangapi Tanzania Bara nzima second after CCM..upo?

Chadema ni wimbo mpya na kupata wabaunge wengi safari haina maana CUF haitapata chaguzi zijazo? mistake (or rather wishingfull thinking)

Chadema cha cha Wakristo, hakina hata mwenyekiti wa mtaa maeneo ya waislam na zanzibar? wakristo na ukristo mtupu embu angalia wanavyo sema ovyo kuhusu madai ya waislam wa Tanzania na ku-support matamko ya maaskofu..lol (you can't fool people all the time)

CUF siyo chama cha waislam ni chama cha Watanzania wote; Zanzibar, Pemba, Lindi, Bukoba, Dodoma etc.. pia... kipi kigumu hapo kuelewa??

Idumu ndoa ya CCM na CUF
 
My conclusion kumbe mtatiro ni kilaza.. Anaendeshwa na mkumbo wa maalim seif
Nakushukuru kwa kuliona hili hata mi nadhani MTATIRO bado ni mgeni wa siasa na wasipomweka sawa ataua chama kwani mara nyingi anakuwa hana hata Point ila analazimisha tu kupata umaarufu.

Halafu hiyo bendera hata mimi nashangaa zaidi nawashangaa hao wanachi wanachama wa CUF bara wamekodoa mimacho bila hata kujiuliza ni bendera ya nchi gani inayopepea pamoja na bendera ya chama chao
 
kushahadia pekee haikurudishi ktk uislaam ni sawa na kukubali (shahada) ulipotoka na sasa unarudi ktk njia ongofu..lakini kama hutajisalimisha kwa mola wako kwa kufuata njia ongofu ati kwa sababu tu ulishadia unajidanganya mwenyewe..

Lazima ufuate uislaam unavyotakiwa hakuna excuse zaidi ya zile zilizoorodheshwa... Hao wa libya na wasyria utawaita waislaam walioasi wakati wanafanya kufur kubwa tuuite ati uasi.. Huwezi kuacha ibada kubwa ukisema kesho nitarudi ktk uislaam mwenyezi mungu sii wa kuchezea kama unaingia kuoga maji ukichafuka. Na ndio maana mtume akasema kama wewe husali huna tofauti na kafir ikiwa na maana zipo sifa zinazokufanya wewe uwe muislaam na neno total submission lina maana kubwa zaidi ya kutoa shahada. Huapishwi uraia mkuu wangu hii ni imani ya mungu, dini sio uraia.

pili maana ya shahada ni kushuhudia na kukubali kwamba hakuna mola apaswaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa mwenyezi mungu na usipomuabudu shaha yako haina kazi maana huyo ustadhi ni shahidi tu wa kwamba uliukubali uislaam kama hutautuafata hiyo ni kesi yako na huyu siku ya siku atakuwa shahidi dhidi yako wewe. Hakuna sababu ya huo ustadhi maana hawa watu hawakuniamini mimi hivyo wewe chukua darsa kutoka kwangu. Bongo mambo mengi sana mnadanganyana..

mkandara hii shahada(hapo rangi nyekundu) mbona haitambuliki ktk uislamu? Shahada hii ni yako wewe? Na ni ya dini ipi? Jamani hata dini mnachakachua!

Shahada ya uislamu ni hii hapa: Hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki ila mwenye-enzi mungu na muhamad ni mtume wake!

Upo hapo?
 
GreatThinkers,

eeeeh, misifa ilyowekwa :A S-confused1:
CCeM Biiii Oyeeeeeeee:A S-cry::frusty:
 
Huu ni mkutano wa chama cha siasa au ni mkutano wa Bakwata? mbona baraghashia kibao? pili ni kwa nini safu nzima ya uongozi wa CUF ni waislamu tupu? Akiwemo Julius Mtatiro maana ana bonge la sigida!
 
mkandara hii shahada(hapo rangi nyekundu) mbona haitambuliki ktk uislamu? Shahada hii ni yako wewe? Na ni ya dini ipi? Jamani hata dini mnachakachua!

Shahada ya uislamu ni hii hapa: Hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki ila mwenye-enzi mungu na muhamad ni mtume wake!

Upo hapo?
Mkuu naelewa sana na nimesema hivyo kutokana na dhana ya Ngekewa. Madai yake ni kwamba ukishamkubali Mwenyezi Mungu na mtume wake (shahada) basi wewe tayari ni Muislaam hivyo mengine yote ya kuasi na hayakuondoi ktk Uislaam ila pale tu unapofanya kufur. Na ndio nakamtalia maneno hayo maana wengi tulifundishwa hivyo na tukaaminishwa hivyo..

Ni makosa ambayo sote tunayafanya na yametumiwa sana na wanasiasa kuitumia dini ya kiislaam to their advantage..Nikisikia Kadogoo anaitwa Suleiman basi huyu Muislaam, ndugu yangu lazima nimpe tafu, kumbe Uislaam ni maisha unayotakiwa kuishi (way of life) ili uwe Muislaam tofauti na imani ya Wakristu ambayo ukishamkubali Yesu kama mwokozi basi wewe utaokoka maana yeye tayari kisha beba mzigo wako kwa kujitoa mhanga msalabani.

Ni makosa ambayo Waislaam wengi hutafsiri dini hii kutokana na influence ya Ukristu ktk maisha yao bila kujua kwamba Uislaam ni dini inayosimama peke yake na Wakristu ni watu (society) wasiokuwa na dini ila wale waliomfuata Yesu na wakaitwa Wakristu (Christians) wakati waislaam hawaitwi Muhammadans. Pia Jews ilikuwa dini yaani imani leo hii imebadilishwa na kuwa society ya kizazi cha Daud sio tena followers wa mafundisho..

Na ndio nikamwambia Uislaam sivyo hii ni dini inayojitegemea, wewe binaadam unaposhahadia ni presupposes kufuata sheria zake haina maana zaidi hata Muislaam safi anaposali sala tano hutoa shahada kila siku..Uislaam ni way of life and you got to live that life to be a Muslim...It's Total submission to God haina njia za mkato kufikiria kwamba Uislaam ni kama URAIA ukisha tiwa maji basi you are Muslim.

Utaniuwia radhi mkuu wangu sina ujuzi wa kufupisha wala kuelezea vitu kinagaubaga lakini nachotaka kusema tu ni kwamba ile dhana walotujenga wazee wetu kuamini Uislaam ni WATU sii kweli bali sisi watu ndio huingia Uislaam na tunatakiwa kuishi kama kitabu kilivyotuamrisha nje ya hapo unatoka ktk Uislaam.
 
Mkuu mbona unaweka maneno yako kwangu; mimi sijasema kwamba Jussa na Seif wanawasaliti waislam NO! nimesema nina reservation kama viongozi wa CUF kama taasisi ya kisiasa period! kama ambavyo nina reservation kwa viongozi wa chadema Slaa na Mnyika..

oh unaniuliza kwa vipi Dr. Slaa anausaliti waislam na uislam, mkuu nimeshaenda ofisini kwake mara nyingi tumeongea mambo ya siasa na dini ana chuki ya kufa mtu na uislam ..
Shukran umesema una reservation kwa viongozi wa CUF na Chadema, sasa inakuwaje mimi reservation zangu unazipinga kwa nguvu zote?..Mjadala huu unahusu mkutano ulioandaliwa na viongozi wa CUF ambao binafsi yangu siwaafiki na ndio nawashambulia hapa sio CUF. Nimeonyesha hata unyonge wa wanaCUF na jeuri ya Maalim Seif lakini wewe unakuja na kuitetea wakati deep down huna imani na mtu huyu. Hutaki kumsema lolote kwa sababu ni Musilaam na Mzazinbar ..oooh sorry wewe Mgogozenji, mybad!...

Na kama umewahi soma makala zangu nyingi husema Seif na Jussa ndio wanakiua chama hiki. Hutegemea mtu aje na hoja inayopingana na dhana hii sio kutumia dini zao kuwa sababu ya utetezi.. Swala la mtu uloongea naye ofisini kwake nani huyo? Dr.Slaa au Mnyika mwenye chuki na Uislaam? na hakiLilaah nitashukuru kama utayasema aloyasema kuhusu Uislaam hizi ndizo record za viongozi tunazozitaka kuzisikia. Na nakuhakikishia ukinambia yeyote baina ya hawa nitamfuta mimi mwenyewe na kumuuliza maswali hayo hayo nipate uhakika. Ipo haja kubwa ya kuonyuesha viongozi wenye chuki na imani za watu wengine.

Na kuhusu Chuki mkuu wangu tunajua zipo pande zote mbili na hawa mahasid wa Uislaam tunawataka wajitokeze iwe ndani ya Chadema CCM na hata CUF maana kuchukia dini ya watu ni uvunjaji wa sheria KIKATIBA... Hatuwahitaji viongozi kama hao wala kuwaunga mkono na ndio maana sipo CCM wala CUF kwa sababu wanaitumia dini ku preach chuki wakati wao hawafuati kitabu wakitumia kuzaliwa kwao kama silaha ya kushambulia..

Hakuna hata chama kimoja cha siasa kinacho oppose MoU kati ya CCM na Chadema; hapo sera yao ni sawasawa kusaidia kanisa na ikibidi waislamu walie tu..nina uhakika wa CUF hasa Lipumba ana oppose MoU na yuko tayari Taifa kujiunga na OIC..
Sasa ikiwa wewe unajua haya inakuwaje unawatetea CCM na CUf wakati wote hawa sii watetezi wa maslahi ya Waislaam? Binafsi nimeshasema sintotetea maslahi ya Waislaam bali hutetea maslahi ya DINI - ISLAM ili wafuasi wake wapate kufanya ibada zao bila kuzuiliwa. Nadhani nilishawahi kusema huko nyuma ya kwamba Chadema walikuwa na CUF toka mwaka 1995 -2000 na wakimkubali Lipumba kama mgombea Urais.. Je unafikri hawa wakristu walikuwa hawajui kwamba CUF inanadiwa kama chama cha Waislaam?.. CDM walikuwa hawajui kwamba Lipumba alkitaka kuuvunja muafaka wa MoU? Walikuwa hawajui kwamba Zanzibar ni nchi na zinatakiwa kuundwa nchi tatu?.

Sasa kama yote haya waliyajua na bado chama hiki cha wakristu kilimchagua yeye kuwa mgombea wakijua fika kwamba atawaondolea mengi ya kikristu walipumbazwa na lipi hadi wampe support wakati Waislaam ndani ya CCM wakiwaita CUF chama cha Waislaam. Hiyo chuki yao kwa Uislaam sii ndio ingejitokeza siku hizo..Huoni kufuru hii ipo kwa Muislaam ndani ya CCM kufanya siasa za kuita CUF chama cha Waislaam wakati yeye kajitoa ktk Uislaam?..

Mkuu samahani jaribuni sana kuziweka siasa nje ya dini maana sivyo tulivyofundishwa wengine. Hawa watu wanapenda sana kutumia dini na sio Uislaam kwani madai yao yote ni kinyume cha Uislaam na wanaupiga vita wao wenyewe. Ya dini mtumike Mungu na kama kuna kiongozi yeyote anaupiga vita Uislaam huyu ndiye wa kumzungumzia lakini sio mtu anayepingana na Muislaam awe adui ya Uislaam wakati huyo muislaam hatetei Uislaam bali anatetea maslahi yake au ya Wazanzibar who happened to be ID as Muslims by birth..
 
Back
Top Bottom