PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012

CCM ni chama kinachotetea haki za wanyonge. Wapiga kura wengi ni wanyonge masikini, ndio maana wanakichagua chama wanachokimini CCM na kinashinda kila chaguzi kuanzia ngazi ya vijiji mpaka taifa.

clap... clap... clap

read again my post "Kosa kubwa mnalofanya CCM kwa sasa ni hii dharau kwa maskini... THEY ARE THE REAL VOTERS!!

calling names, mocking them expecting that they are fools for life wont help

traitors never hide....
 
Hakika Arusha ni CHADEMA na tunapaswa kutafuta uwanja wa kufanyia mikutano maana sioni uwanja hapa mjini unao weza kukizi mahitaji ya chadema....

Ni jukumu la serikali kututafutia eneo la wazi! Mji wowote lazima uwe na assembly point!
 
clap... clap... clap

read again my post "Kosa kubwa mnalofanya CCM kwa sasa ni hii dharau kwa maskini... THEY ARE THE REAL VOTERS!!

calling names, mocking them expecting that they are fools for life wont help

traitors never hide....

Imani za CCM zimejengwa katika misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa.
 
Halafu watu tuliotekea pande hizo tikifanikiwa kimaisha mnasema wezi! Tunafanya maamuzi sahihi, potelea mbali hata kama watatunyima haki ya kutawala bado hatuko katika kundi kubwa la wajinga! Angalia Watu wa Mtwara, Lindi, Singida, Tabora, Pwani wamechagua nini! Angalia na maisha yao. Ndio utadungundua akili kumkichwa!
 
wakijani nao wanaweza kukodi watu wakajaa kama lema alivyo jaza apo. Kuna anaye bisha.
 
Now you're talking. Na muache kuchezea nyumba za wanaume. "Mkachezeane" huko huko mnakofanyiana kidali-po na mambo yenu ya Pwani hadi ndoa ya mkeka! A-town ni kazi tu; wanaume hawajui somo lingine.

Mkuu Ritz;
Mwingine huyu sijui hiki cha kwa Sadar au cha kwa pele kazi ipo na hawa makamanda

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hizo ni picha za kupeleka invoice conservative union. Mbona picha za mnyika ubungo juzi makuziweka???
 
Umepata shida kuelewa nimesema DECEIVED jobless. Kuwa jobless siyo tusi wala kejeli ni hali ya maisha...

Ndiyo maana nikakuuliza kuna shida gani hao deceived jobless kuhudhuria huo mkutano kwa wingi wao ? if you make it positive, then I have no problem, Tatizo langu ni kama utachukulia hiyo kama negative !
 
Imani za CCM zimejengwa katika misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa.

yeah, na ndio maana wengine wako miguided, uneducated and poor while others amass mountains of unfair wealthy and other opportunities

tic-tac-tic-tac
 
hao watu ni wachache ukilinganisha na mikutano ya nyuma, watu ndio wanaanza kuachana na cdm hivyo, wafuasi wengi wa cdm ni wakristo waliomchukia kikwete bila sababu ya msingi akimaliza kipindi chake watarudi nyumbani hawa si wanasiasa, ni makantonta.
 
Kuna ajabu gani Lema kukusanya watu Arusha? Hapo ni nyumbani kwake ningeona ajabu kama kakusanya umati huo Chakechake-Pemba; wakati tumieni akili kabla ya kuandika majisifu

Chama
Gongo la mboto DSM

Umevurugwa wewe.....???!!!
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom