Picha: Mkutano wa CHADEMA jana - Bukoba

Ericus Kimasha

JF-Expert Member
Oct 27, 2006
488
470
Kwa maelezo zaidi, na wakati wowote hutakapo taarifa zilizosheheni juu ya matukio yahusuyo kanda ya ziwa tembelea BUKOBAWADAU BLOG
10.jpg

Wananchi wakihamasika na salamu ya CHADEMA

44.jpg


Wilfred Muganyizi Lwakatare (Lwakeupe, Entare, Engaaaju) akihutubia


Kwa idhini ya Mc Baraka wa Bukoba Wadau http://bukobawadau.blogspot.com/
 
Mashambulizi kila kona ya nchi kwa kweli M4C mchakamchaka wake mkubwa mno
 
Haya magamba nanyi nendeni huko basi msiishie jangwani tu !
 
magamba naona wamechoka na wazee wao hawana mbinu wala sera mpya kikubwa kwao sas ni kuiga na kujibu hoja za wapambanaji
 

Picha Hii Aonyeshwe Mh. Nape Nnauye anayedai anapata watu kwenye Mikutano yake; Yeye ni Nani Ndani ya CCM?

Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Tanganyika; Mjumbe wa Central Committee; Mjumbe wa NEC; Kiongozi wa

Mawaziri wa CCM; Mwoga wa kupanda Jukwaani Zanzibar; Hatujui Kwanini...

* Hapa ni Mwanachama wa CHADEMA anavuta Umati Huu wa Watu;
 
Mimi nauliza hii mikutano mbona imekuwa mingi sana, nchi nzima CHADEMA CHADEMA CHADEMA, Kwani kuna nini?
 
Mimi nauliza hii mikutano mbona imekuwa mingi sana, nchi nzima CHADEMA CHADEMA CHADEMA, Kwani kuna nini?



Upo Nchini kweli Sangarara?
Huu msako unaitwa TWANGA KOTEKOTE!
Mafisadi wakipona kwenye hii M4C mi ctaingia tena jukwaa la siasa milele!

Huu msako ni mpaka kieleweke!

Viva CHADEMA!
 
Kichekesho ni kwamba ni mkutano ambao umeitishwa na viongozi wa mkoa kuzungumza na wanachama wao kuhusu nchi inavyokwenda kombo! tunaomba na ccm waitishe wao na wasiweke malori kubeba watu toka vijijini kama kuna mtu ataonekana!!!
Oppppsss nimesikia yule waziri anakwenda kule Bukoba na wananchi wamewekewa matangazo waende mpokea mheshimiwa airport!! ngoja tusubiri picha kama kuna watu hawa wote watakwenda! Najua ccm maslahi hawatakosa!
 
Kwa hali hii sidhani kama kuna kupona mtu, CCM wajiangalie sana wanaenda kaburini na nyimbo za kuwasindikiza zinapigwa sasa ifikapo 2015 imezikwa kabisa.
 
Back
Top Bottom