Picha: Mkapa ashiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa nyumbani kwa balozi wa tanzania ubelgiji

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=1]MKAPA ASHIRIKI CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NYUMBANI KWA BALOZI WA TANZANIA UBELGIJI MH. DKT. DIODORUS KAMALA[/h]




Mh. Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akikaribishwa na Mama Balozi mara baada ya kuwasili nyumbani kwao Brussels kwa ajili ya chakula cha jioni.



Pichani ni baadhi ya Watanzania na maafisa ubalozi waliojitokeza kumpokea Mh. Mkapa.



Mh. Mkapa akisaliana na wadau.



Wadau wakiendelea na salam pamoja na ukaribisho.



Watanzania walijitokeza kwa wingi kumkaribisha Mh. Mkapa.



Ukaribisho ukiendelea.



Mheshimiwa Rais Mstaafu Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Benjamin William Mkapa Ashiriki Chakula Cha Jioni Kilichoandaliwa Nyumbani Kwa Balozi Wa Tanzania Ubelgiji Mh. Dkt. Diodorus Kamala Tarehe 21.10.2012 Wakati Mh Rais Mstaafu alipokuwa Brussels, Belgium kuhudhuria mkutano ulioandaliwa na International Crisis Group(ICG).



Wakina mama hawkaubaki nyuma.



Mh. Mkapa akikaribishwa.



Baadhi ya watanzania waliojumika na Mh. Mkapa ktaika chakula cha jioni nyumbani kwa Mh. Balozi Kamala.



Rais mstaafu wa Tanzania Mh. Benjamin Mkapa akiwa katika picha na Mh. Balozi wa Tanzania Belgium Dr Kamala nyumbani kwake.



Rais mstaafu wa Tanznia Mh. Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kikundi cha Upendo cha Ubeligiji na Mh. Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Kamala.




Rais mstaafu wa Tanzania Mh. Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na familia ya balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr Kamala.






Baadhi ya viongozi wa Jumuyia ya watazania Ubeligiji na Uholanzi wakiwa katika picha ya pamoja na Rais msatafu wa Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa pamoja na balozi wa Tanzania Ubelgiji Mh. Dr Kamala

SOURCE; BLOG za MIKOA
 

Na Mimi nakuja KUGOMBEA UKUU WA SERIKALI; Nchi ina pesa nini? Kila mtu anakata MBUGA hadi Mh. Mulugo!!!
 
Slowly we keep on knowing that the guy did a good job..We also appreciate that He was a human being like any other who can make mistakes..
 
Nakubaliana nawe mkuu Malipula, Mkapa was a president. Nchi zote duniani zimeendelea zilivyo si kwamba hakukuwa na ufisadi ulikuwepo ila ulizingatia zaidi maslahi ya Mataifa yao. Hata Mkapa alijitahidi sana mengi aliyoyafanya yalikuwa yanaubora na kuzingatia maslahi ya Taifa. machache mabaya aliyoyafanya ni ya kibinadamu. Tunakukumbuka mzee wetu upumzike salama.
 
Taarifa kama hii imewezaje kuwekwa kwenye jukwaa la siasa? Mod peleka kwenye habari mchanganyiko kama kuna watu wanafurahia picha za ulaya, wajionee.

Mkapa ni fisadi kama wengine waliopo madarakani. Uchafu alioufanya ulichangia kuiangusha TZ, hata kama waliopo sasa hivi wamezidi naye aliweka share yake. Tangu kuuziana mashirika na mikataba ya madini si ni yeye? Mauwaji ya pemba ni yeye!

They are all Rubbish!
 
Huyu daktari feki Nshomile analipa fadhila. Kwa vile wote ni wamoja katika vita ya ufisadi, unategemea nini? Wana vita ya kifisadi ya kula nchi hadi watu wake.
 
Slowly we keep on knowing that the guy did a good job..We also appreciate that He was a human being like any other who can make mistakes..

Mikataba mibovu ya madini,
Ufisadi,
Kesi ya rada,
Uharibifu wa Mazingira katika vijiji vyenye migodi,
Net group solution TANESCO,

Exchange Rate ya Tsh alipoingia Madarakini hadi aliptoka unajua ilikuwaje?
Maisha Magumu kwa watanzania (UKAPA)

Yes he did a good job

Waswahili tuna msemo unasema Ukipenda ,Chongo huita kengeza
 
Slowly we keep on knowing that the guy did a good job..We also appreciate that He was a human being like any other who can make mistakes..

The worst current scenario should not be used to upraise the hopelessness of Mkapa.

It seems Mkapa is the forgotten ghost. He initiated privatization of our Mashirika not for any better reason just for getting access to the national resources, privately. Industries, migodi, mashamba, etc.

No wonder Adolph Hitler has followers. How can you be courageous to appreciate such a hopeless performance?

Mkapa is the initiator who later found himself useless and always on hide place. These stupidest of today just followed the trick efficiently and widely!
 
watu waliokata tamaa ya maisha utawajua tu..........
always looking for some one to blame!
 
Mzee Mkapa asante sana kwa kutuachia Dhaifu kibembea. Tanzania imeishia shimoni kwa kukosa kabisa uongozi. Ninaamini siku moja mtakutana na Nyerere na atawatandika viboko ile mbaya!
 
Kamara si alikuwa ameapishwa kuwa balozi wa Tanzania Italy, haya mabadiko ya yeye kwenda Belgium wananchi walitangaziwa kweli
 
nikiangaliaga such fotos ndio nakuaga reminded kua wabongo nchi za nje wako wengi sikujua kuna kikundi cha upendo belgium si mchezo..hao ukiwaambia warudi bongo kuja kuishi watakuona huna akili
 
Back
Top Bottom