PICHA: Mh Rais Dr. Jakaya Kikwete Katika Kikao Cha Kazi

Semina elekezi hizi wakitoka hawa watakuja manaibu waziri,wakuu wa mikoa,wilaya.......posho kibaoooo
 
Zimbabwe and Pemba to form Tanzania..!! Yaani hata kama ilikuwa ni nini jamaa alipotea mbaya sana..!
 
Huwa napata shida sana kuamini macho yangu hv mh.rais huwa anazunguka na hicho kiti kila anakokwenda tazama ule mkutano uliofanyika ukumbi wa bot kama kuna mwenye picha aitupie hapa kiti ni kile kile kunan?
 
Afsa mwandamizi na waziri mzungu???duuuh!!Tumeshapigwa bei wallah!!!

Ukiona hivi ujue dhaifu kakosa trip siku hizi mbili tatu ndo kaja na hii ya kikao cha kazi. Si angekaa ofisini akachambua matatizo lukuki ya nchi hii?
 
Hii sio SEMINA ELEKEZI kwa jina jipya la KIKAO KAZI kweli??????

Ina maana hadi leo hawa watendaji waandamizi hawajui majukumu yao mwaka wa saba wa utawala wa JK??????

Angekaa kikao cha kazi na Mulugo....
 
Yaani dhaifu naye anaona sifa kujiita rais wakati anashindwa kumfukuza kazi Mulogo.
 
Atakuwa ni huyo mzungu ana-present!!! Vikao vya Rais, na mawaziri wake kuwe na projector!!!!! Mawaziri wenyewe wa-kina Mulugo? You must be kidding!!!

haa haa haa haa,tehe teh teh teh!!! mbavu zangu mie.
 
kuna maofisa waandamizi wa serikali - wazungu??

kikao cha kazi gani na mzungu? Utumbo mtupu! Aseme tu kweli kuwa anawasilisha makubaliano kutoka oman ili waoman nao waanze kujilia vya tz kabla mzee wa misafara hajaondoka. Sheeeettt!
 
Back
Top Bottom