Picha: Mh. Joseph mbilinyi (Sugu) alipofanya mkutano wa hadhara Uyole ya kati - Mbeya

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
IMG_0501.JPG

Mh. Mbunge Sugu akiwasili katika eneo la mkutano..
IMG_0506.JPG

Mbunge Joseph Mbilinyi akiwahutubia wananchi..
IMG_0510.JPG

Wananchi wa Uyole kati Mbeya wakimsikiliza Mbunge wao
IMG_0518.JPG

Baadhi ya wananchi wakisikiliza mkutano wa Mbunge wao Joseph Mbilinyi
IMG_0522.JPG

Mbunge akiagana na wananchi baada ya kumaliza mkutano wake...
IMG_0532.JPG

Mh. Mbunge alipata fursa ya kula chakula na makamanda wa Uyole - Mbeya​

 
Hivi ndivyo mbunge anatakiwa awe,ni kuwa karibu na wapiga kura,sio kama wengine wanaoogopa kufika hata mjimboni kwao,
CDM for LIFE.
 
Na mbeya waigawanye majimbo yawe mawili hili jimbo kubwa sana kwa mweshimiwa sugu peke ake, afu cdm tutayachukua yotee
 
CHADEMA BABA LAO. CCM WATAISHIA KUPEPESA MACHO. JIIMARISHE PIA IMARISHA CDM YETU BABA TUKO NYUMA YAKO TUTAKUUNGA MKONO DAIMA. TUMECHOKA DHULUMA ZA CCM NA MAFISADi
 
No CHADEMA no LIFE in TANZANIA. Swallow a pit although it is bitter!
 
Safi sana kamanda Sugu maana unaonesha ni jinsi gani ulivyo karibu na wananchi wako.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom