PICHA: Mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje (CHADEMA) alivyotikisa jiji la Mwanza jana

Picha kweli tumeziona cha msingi aweke utaratibu endelevu wa kuleta mrejesho kwa wananchi walimpigia kura kila anapotoka mjengoni,awaambie yaliyoazimiwa kitaifa na kwenye jimbo lake yale ambayo wananchi walimtuma yaliyokubaliwa kwa maana ya utekelezaji,ila afanye mikutano pia kuwapa feed back ya mambo alowaahidi kuyafanyia kazi,Tumechoka na hadithi za wafamilia ya NDIOOOOOO!Tuko nyuma yao kwa lolote na for "Time will tell"
Hongera brother kwa pich na kwa Mh. Wenje zingatia sana ushauri tunakutakia kila l a heri

Kila siku mmnandamana!

Mnapoteza nguvu zenu bure.mnaishia kuungua jua tu.Viongozi wenu wanajilipa 600,000! Poor CDM fans!

Hata wakijilipa 2,000,000/ hatuwezi kuhamia kwa watu wanaohongwa SUTI na mijidume ya kiarabu,na makapeti kama wewe mnavalishwa fulana za buku mbili mbili,ina maana mmeshindwa kujinunulia pale manzese?masiki Rejao!! mwe.

Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.ccm tunarudi kuchuku nyamagana hata kwa ndumba.mtakoma!ccm jana tulikuwa hapo tunasikiliza pumba zenu.so wingi wa watu is nt an issue.u luk like u cnt thnk u chadema.

picha zinafurahisha na kinachofurahisha ni kuona watu wazima , sijaona vitoto kwa mbali naona matumaini ya watanzania yanaanza kulejea

Kila siku mmnandamana!
Mnapoteza nguvu zenu bure.mnaishia kuungua jua tu.Viongozi wenu wanajilipa 600,000! Poor CDM fans!

Nilikuwa simuamini kabisa masaburi!!!!Ila leo nimeamini kuna watu wanafikiri kwa kutumia makalio na wengine ugoko!!!Hii yote ni sababu ya kuwa na MAWAZO MGANDO

Kuhongwa sarawili na mwarabu ni aibu sana.
Kwani rejao na ritz walishindwa kumnunulia sarawili, jambakoti na bukta?

Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.ccm tunarudi kuchuku nyamagana hata kwa ndumba.mtakoma!ccm jana tulikuwa hapo tunasikiliza pumba zenu.so wingi wa watu is nt an issue.u luk like u cnt thnk u chadema.

Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.ccm tunarudi kuchuku nyamagana hata kwa ndumba.mtakoma!ccm jana tulikuwa hapo tunasikiliza pumba zenu.so wingi wa watu is nt an issue.u luk like u cnt thnk u chadema.
men hivi are you CCM's for real,yaani bado mnapigia debe mutu lmesema hata haljui hata kwanini nyie ni masikini wa kutupwa na mali mnazo za kutupa,for real. Any way haya bana. Naquote jambo alilosema Wenje kuwa 'aliyetengeza Titanic alisema Titanic can never sink alidiriki kusema kuwa hata Mungu hawezi kuizamisha na captain alisema watu waendelee na shughuli zao hata baada ya kugonga baraf maana aliamini hawatazama kamwe wajanja wakaanza kupanda juu na maboya mwisho el capitano alikufilia kule,ukiona watu kama hivyo unasema haustuki unatakiwa kustuka kina rostam wamestuka kuwa dude linazama hilo wanapanda zao,nyie bado mnashika mabango mtakufa maji.

...Mnapoteza nguvu zenu bure.mnaishia kuungua jua tu
Jamii za dunia zimemwaga damu kujiletea mabadiliko, unaongelea kuungua na jua? Sio rahisi kuondoa madarakani taasisi iliyoshika mamlaka ya nchi miaka 50 kama utakaa kivulini unaogopa "kupoteza nguvu zetu bure." Watanzania wanazidi kuamka kila uchwao. Leo unasema unawaonea huruma, "poor CDM fans," wape general elections mbili tu mbeleni.

maandamano ya CDM yalikuwa na maana sana, Mwelevu haonyweshi njia mar mbili, Mara baada ya CDM kusitisha maandamano , sasa ndio kwanza TANZAGIZA imezidi , hay tu ni baadhi ya matunda ya kukosekana maandamano ya kudai haki. Huu si uwanja wa SIASA .tuishie hapo tulumbambane kwa mantiki.

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom