Picha: Mbunge maarufu Joyce Mukya

Status
Not open for further replies.
Niseme tu kwamba ccm msitake kutuletea ngojera nyingi mkubali msikubali asilimia 99% ya watanzania hawaipendi ccm kwa namna ccm ilivyo liangamiza taifa letu. CCM ni janga la kitaifa. pengine ili watanzania waweze walau kukubaliana na chochote mnachosema chukueni hatua kali kukomesha Ufisadi/Ujangili/Ujambazi wa ardhi/wizi wa fedha/utoroshaji wa wanyama/mauaji ya raia nk matendo haya yanafanywa na CCM.

Hakuna mtu anayeweza kukubali wala kusikiliza maneno ya kada yeyete wa CCM maana kila likada la ccm lipo kwa ajili ya ujangili/wizi/ujambazi/kuua/kupora ardhi kama kule Mwanza liccm moja limegongwa kisawasawa kwa ujambazi wa ardhi/ Mabadiliko yatakayoleta heshima ktk utawala hayaepukiki kwa lolote lile hata kama mtaleta propaganda nyingi ni bure tu. Hao watu wanatosha wanasubili tu kuiangamiza jambazi/fisadi ccm 2015
hao ndo fani zao,,nataka kujua huyu si mke wa mtu kweli?
hiki chama cha uzinzi balaa.
 
mheshimiwa mbowe ni kiongozi mwenye busara sana,hayo mengine ni maisha yake binafsi!!!
 
kamata.jpg



Majina tafadhali wadau


Uongo dhambi huyu wa mwenye suti ya kijivu mkali, hayo mengine mtamaliza wenyewe.
 
Mimi huwa sielewi kazi ya wabunge wa viti maalumu, sasa naanza kuielewa vizuri! Kumbe ni viburudisho vya waheshimiwa wenye majimbo?
 
Watu wanapoacha kujadili mambo ya msingi Na kujadili vitu visivyo na msingi! Mijadala km hii itakuja kuwaaibisha wengi! Mi Yangu macho!
 
Kati ya Mkulu na KUB nani zaidi? linganisha huyo aliyeshika kijitabu na mkono mmoja ameshika sikio na JOYCE M.
kamata.jpg

Wabunge wa sampuli hii wa chama cha magamba ndio waliolidhalilisha bunge kwa kulishushia heshima yake [ kuvaa vikuku] mpaka wananchi wanaona hakuna faida kuwakilishwa na hawa wabunge wa viti maalum kwenye katiba yetu mpya!!
 
Niseme tu kwamba ccm msitake kutuletea ngojera nyingi mkubali msikubali asilimia 99% ya watanzania hawaipendi ccm kwa namna ccm ilivyo liangamiza taifa letu. CCM ni janga la kitaifa. pengine ili watanzania waweze walau kukubaliana na chochote mnachosema chukueni hatua kali kukomesha Ufisadi/Ujangili/Ujambazi wa ardhi/wizi wa fedha/utoroshaji wa wanyama/mauaji ya raia nk matendo haya yanafanywa na ccm. Hakuna mtu anayeweza kukubali wala kusikiliza maneno ya kada yeyete wa ccm maana kila likada la ccm lipo kwa ajili ya ujangili/wizi/ujambazi/kuua/kupora ardhi kama kule Mwanza liccm moja limegongwa kisawasawa kwa ujambazi wa ardhi/ Mabadiliko yatakayoleta heshima ktk utawala hayaepukiki kwa lolote lile hata kama mtaleta propaganda nyingi ni bure tu. Hao watu wanatosha wanasubili tu kuiangamiza jambazi/fisadi ccm 2015

Huo utafit umefanywa na nan wapi na lini?Akil za Bavicha zinahesabika na 2015 subr kutomuona Mnyika na Msinlgwa bungeni
 
Hebu waone miguu yao utafikir wale wadada wa mrin......

kamata.jpg
[/QUOTE]
 
20200612_180414.jpg
nakupa ya dada lilian kwanza mke halali wa Mbowe

Huyu mwanamke ni mzuri ase ila Mbowe amemsababishia stress sana hadi ameanza kubadilika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom