PICHA: Mbowe ampongeza rais Kikwete...

Pia Selasini uko sahihi kuhusu suala la bajeti.Cha muhimu shirikiana na ben saanane kujenga Rombo acha hofu unayoonyesha hapa.mshirikishe hata edward kinabo.najua ben pia anajipanga kwenda rombo lakini kauli kama zako za kuegemea kwa JK ndizo zitakazokumaliza kwani nimeona jinsi mpinzani wako anavyojua kuyatumia haya kukumaliza kisiasa.nilishasema mkicheza mtakosa rombo kama tarime.ninyi nyote ni wazuri wa propaganda na hatari sana kama mtachuana huko.....

Kinabo ndiye anamchafua Selasini kwenye mtandao mkuu.Anafanya kazi Tanzania Daima na kutumia nafasi hiyo kwa viongozi wa juu wa Chama

Pia Selasini anajua mipango yote ya akina Ben Saanane ya kupanga mikati kumuengua kule Rombo na propaganda chafu.Ni kweli kama ni kutumia makosa ya mpinzani waje ben ni mzuri zaidi.

Nimeona hili suala jinsi lilivyochochewa na Ben Saanane huko facebook na Twitter na alivyoweza kuwaingiza kingi vijana wa rombo.

Pia amewasiliana na mitabdao yake huku rombo kuhusu hilo kwa lengo la kuchochea propaganda dhidi ya Selasini.Tunaandaa Tarime nyingine
.
 
hii ndiyi vita ambayo mmeshaanza kugombea jimbo la Rombo?
kweli niliona msimamo wa Ben Saanane kupinga fikra zako za kuita barabara ya rombo jk road.mwanzoni nilifikiri ben ameanza vita ya jimboni lakini nikakumbuka misimamo yake mara nyingi ni tata.niliona mahali pengine ametwist hili la mbowe na kudai maendeleo hayalingani na miaka 50 huku akidai ni wajibu kujenga barabara
Pia Selasini uko sahihi kuhusu suala la bajeti.Cha muhimu shirikiana na ben saanane kujenga Rombo acha hofu unayoonyesha hapa.mshirikishe hata edward kinabo.najua ben pia anajipanga kwenda rombo lakini kauli kama zako za kuegemea kwa JK ndizo zitakazokumaliza kwani nimeona jinsi mpinzani wako anavyojua kuyatumia haya kukumaliza kisiasa.nilishasema mkicheza mtakosa rombo kama tarime.ninyi nyote ni wazuri wa propaganda na hatari sana kama mtachuana huko

Tatizo hapa siyo Uzuri wa propaganda wala Ubunge. Mfano wa Juzi kwenye Uchaguzi mdogo wa Udiwani huyo Ben Saanane au wengine wote wanaofikiria kugombea Ubunge hawakuonekana? Leo Mhe.Selasini kapambana tukashinda. Mbona kwenye kutekeleza ahadi hawapo? Mhe.Selasini aliahidi, Ametekeleza! Sasa kama maneno ni silaha ya kushinda ubunge Rombo waendelee.
 
Kinabo ndiye anamchafua Selasini kwenye mtandao mkuu.Anafanya kazi Tanzania Daima na kutumia nafasi hiyo kwa viongozi wa juu wa Chama

Pia Selasini anajua mipango yote ya akina Ben Saanane ya kupanga mikati kumuengua kule Rombo na propaganda chafu.Ni kweli kama ni kutumia makosa ya mpinzani waje ben ni mzuri zaidi.Nimeona hili suala jinsi lilivyochochewa na Ben Saanane huko facebook na Twitter na alivyoweza kuwaingiza kingi vijana wa rombo.Pia amewasiliana na mitabdao yake huku rombo kuhusu hilo kwa lengo la kuchochea propaganda dhidi ya Selasini.Tunaandaa Tarime nyingine
Namuunga mkono BEN SAANANE AWE MBUNGE WE2 WA ROMBO KWA NGUVU ZOTE
 
Tatizo hapa siyo Uzuri wa propaganda wala Ubunge. Mfano wa Juzi kwenye Uchaguzi mdogo wa Udiwani huyo Ben Saanane au wengine wote wanaofikiria kugombea Ubunge hawakuonekana? Leo Mhe.Selasini kapambana tukashinda. Mbona kwenye kutekeleza ahadi hawapo? Mhe.Selasini aliahidi, Ametekeleza! Sasa kama maneno ni silaha ya kushinda ubunge Rombo waendelee.

Wewe ndiye Selasini kumbe?Mbona una hofu sana?Siungi mkono harakati za Ben na nimechukia sana tabia yake ya kujaribu kuhujumu uchaguzi UVCCM akiwatumia akina Paul Makonda wa CCJ,lakini naona unampa nafasi nyingi ya kujijenga kutokana na makosa yako .Wacha CCM tulirudishe jimbo kuna kijana anaitwa prosper Ngalai tulimvisha ukamanda wa mkoa wa UVCCM ndiye atakayekua kiboko yake Saanane
 
Namuunga mkono BEN SAANANE AWE MBUNGE WE2 WA ROMBO KWA NGUVU ZOTE

CHADEMA mtajikuta mmejaza type za akina Tundu Lissu bungeni.wanasiasa wasomi wanaokurupuka na misimamo isiyo na tija na kupotosha umma kila siku.Ndicho anafanya Ben na akina lisu kwenye siasa hii
 
mikelele mengiii, wakikutana nae ovyoooooooooo
Siasa sio uadui ndugu yangu bali ni upinzani. Mbowe na Kikwete si maadui bali ni washindani wa kisiasa. Wewe ulitarajia amnunie. Tuige mifano ya nchi zilizokomaa kidemokrasia kama Marekani. Wanachuana majukwaani lakini bado ni marafiki wanaoheshimiana.
 
Wewe ndiye Selasini kumbe?Mbona una hofu sana?Siungi mkono harakati za Ben na nimechukia sana tabia yake ya kujaribu kuhujumu uchaguzi UVCCM akiwatumia akina Paul Makonda wa CCJ,lakini naona unampa nafasi nyingi ya kujijenga kutokana na makosa yako .Wacha CCM tulirudishe jimbo kuna kijana anaitwa prosper Ngalai tulimvisha ukamanda wa mkoa wa UVCCM ndiye atakayekua kiboko yake Saanane

Huoni majina yangu na picha yangu au unajitoa tu fahamu maksudi? hao wanaoutaka Ubunge Rombo 2015 waje kutuambia wameifanyia nini CHADEMA Rombo na Taifa, Watuambie wamewafanyia nini Wananchi. Wasidhani kuwa Ubunge wataupata kwenye Silver Plate!. Never!
 
Kumpongeza kwa kujenga barabara jimboni kwake, ni jambo zuri na yeye kama mbunge sikuzote yupo pale bungeni kuoji na kutaka serikali ifanye jambo fulani jimboni kwake na nchi kwa ujumla, kama limetekelezwa hilo moja kati ya mengi atapongezwa kwa hilo, ila sio mwisho au kukaa kimya kwa hilo kwani yapo mambo mengi yalitakiwa kufanywa lakini yajafanywa na mengine yanatakiwa kufanywa. Kamanda Mbowe na makamanda wengine wataendalea kuibana serikali kwani haki yao kama wabunge, madiwani, au kiongozi wa serikali za mitaa na kama rai/ mwananchi wa tanzania.
 
Chdema ni waungwana penye uungwana, lakini hawasiti kusema kweli na kukemea panapostahili! Hongera Mh. Mbowe!
 
KIKWETE bado ni alama ya taifa letu akiwa ni mkuu wa nchi na serikali, sioni sababu kwa raia kama mbowe kutompongeza anapofanya jambo jema na kumkosoa anapoharibu! mambo haya yote upinzani nikimaanisha chadema tumekuwa tukiyafanya kwa maendeleo ya taifa letu. VIVA MBOWE!!!!!
 
Anapongezwa kwa kazi aliyoiombea kura? tanzania bana , kichekesho kweli, mtu analipwa kwa kazi hiyo , then unampongeza, elimu ya uraia bado sana other wise iwe ushabiki tu.


Hutaki apongezwe???? Then Birthdays za nini.........................????????ilhali ni maisha yako mwenyewe
 
Hiyo picha angekuwa Zitto, ungesema yote lakini umemuona Mbowe umeamua kusifia Kombati, ha haa ha! JK bana anawapatia sana hawa watu.

Ritz,

Na mimi nimeshangaa nikajiuliza hiyo kaunda suti ya Jk hajaiona? :becky:
 
wewe ndiye selasini kumbe?mbona una hofu sana?siungi mkono harakati za ben na nimechukia sana tabia yake ya kujaribu kuhujumu uchaguzi uvccm akiwatumia akina paul makonda wa ccj,lakini naona unampa nafasi nyingi ya kujijenga kutokana na makosa yako .wacha ccm tulirudishe jimbo kuna kijana anaitwa prosper ngalai tulimvisha ukamanda wa mkoa wa uvccm ndiye atakayekua kiboko yake saanane......

Mtoto wake na hayati Leons Ngalai Silayo? Usinitake nicheke,:mheshimiwa spika ni tabia gani hii ya serikali ya ccm kuwanywesha wapiga kura wangu wa rombo bia chafu?
 
Siasa sio vita jamani,kushirikiana kuleta maendeleo kwa wananchi ni jambo jema,tuache uhafidhina....
 
Afadhali amekuja Arusha kipindi ambacho Lema siyo mbunge kwani Lema angekutana na JK ni sawa na ugoro na pua chafya lazima ingepigwa kwa kutoa maneno makali.
 
Naona hivi karibuni pongezi zimekuwa nyingi sana kutoka Chadema kwenda kwa serikali. Mkiendelea na hii tabia ya kuwa wasema kweli "realists" tunaweza kuwa consider kuwaweka kwenye usukani 2025 mungu akipenda.

Kweli JK anamaliza kwa bao la kisigino.
 
Back
Top Bottom