Picha Mbalimbali Kutoka Arusha baada ya Rufaa ya Aliyekua Mbunge wa Arusha Mjini(CHADEMA) Lema

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=3][/h]

IMG_2738.JPG

IMG_2730.JPG

Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya
aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema, ilisikilizwa
na kusogezwa mbele.

IMG_2736.JPG

Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliekua Mbunge wa
Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema, baada ya kusogezwa mbele.

IMG_2732.JPG

Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)wakiongozana na aliekua Mbunge wa
Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema Mbunge kutokea mahakamani ambapo rufaa yake ilisikilizwa.

IMG_2734.JPG

Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliekua Mbunge wa
Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema ikisikilizwa na kusogezwa mbele.

IMG_2733.JPG

Aliekua Mbunge wa
Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema akionekana juu ya gari pamoja na Wafuasi wa Chama hicho wakitokea mahakamani.

IMG_2740.JPG

Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
wakibembea juu ya gari la Mbunge.

IMG_2741.JPG

Hili ni gari la aliekua mbunge wa CHADEMA Bw. Godbless Lema.
IMG_2746.JPG

M4C likifuata msafara wa Aliekua Mbunge wa
Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema wakitokea mahakamani.

IMG_2744.JPG

Kikosi cha usalama nacho kilikua kwenye
msafara huo, japokuwa hapakua na kazi yeyote ya kufanya bali kuhakikisha
Amani inatawala.

Picha hizi na habari zimeletwa hapa na mdauGadiola Emanuel
5996140674267894691-4552183362548447647

hayo majani aka masale ni everything ni kwa watu wa kaskazini, yanaweka mipaka, yanawekwa palipo tambiko, yanatumika ombea msamaha yanatumika kushangilia kitu kikuu.

Yaani ni kama yesu alivyoingia jerusalem akalakiwa na majani ya mizituni.
 
Aisee kuwa mwanachama wa chadema ni raha sana kwa kweli.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi CUF walienda kufanya nini Arusha kwa hali hii?

Mkuu
Cuf ni mbumbumbu anayefuata mluzi na maelekezo ya ccm, chochote akiambiwa anafuata.

Watu wanamna hiyo wakuogopwa kama ukoma maana hawana specific objectives
 
Duh kule kaskazini noma sana

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Aisee kuwa mwanachama wa chadema ni raha sana kwa kweli.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

sana.....na sasa hujaona raha vizuri.....siku ambayo kuna mkutano huwa kunakuwa na spirit fulani hivi......kila mtu anahakikisha ana kitu chenye nembo ya CHADEMA.......ukikutana na mwenzio ni kusalimiana.....kutiana moyo na ari kuu.......na hapo humfahamu hujawahi kumuona na wala hutamuona tena.....ni mapendo tu yanatawala.......huwezi sikia uharamia wowote.....
 
hayo majani aka masale ni everything ni kwa watu wa kaskazini, yanaweka mipaka, yanawekwa palipo tambiko, yanatumika ombea msamaha yanatumika kushangilia kitu kikuu.

Yaani ni kama yesu alivyoingia jerusalem akalakiwa na majani ya mizituni.

Nicholas
Vipi ndugu?
Maelezo uliyotoa bila ya hiyo nyekundu, yamejitosheleza.
Mbona hapa unawapa nafasi wanaosema CHADEMA ni chama cha kidini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom