PICHA: MBAGALA ILIVYOKUWA LEO, MABOMU;Vurugu bila busara kutumika si-rahisi;Makanisa 3 ya yavunjwa ?

hawa waislam wana wivu sn,sasa kesi ya kukojolea quran yaan ndo wameharibu hadi vifaa vya kanisani na kuharibu makanisa! wana uhakika gani km aliefanya hivyo ni mkristo au wameona anaitwa emmanuel basi wakajua ni mkristo.
Mkuu swala sio nani kafanya nini isipokuwa swala ni wewe kujiuliza kwa nini unachukua Upande?..Wewe mwenyewe umeshaona kosa moja sii kosa isipokuwa jingine na kwa kutumia karata ya Udini. Mimi nawasoma nyote humu kila mmoja wenu anavutia dini yake wakati hizi ndizo sababu zilizotufiisha hapa tulipo...

Hivi inafikia nini kijana kukojolea Kuruan? Unapofundisha watoto wako na kuwaambia Uislaam ni dini ya SHETANI unategemea nini mtoto wako atafanya kesho?. Je, inakuwaje vijana wengine wakachome makanisa na sio kuitaka sheria maana wamefundishwa wakristu ni Makafir tu.. Kwa nini vita vianze kwa kutazam nani kavaa kanzu, hijabu na mwenye sigda usoni kuwa alama ya mwenza au adui - UDINI. Kama mlikuwa hamjui UDINI huwa hauna logic wala mantiki basi ndio leo mtafahamu..Endeleeni na matusi yenu lakini mfahamu ya kwamba mnakaribisha na kupandikiza mbegu mbaya sana. Sitoshangaa kama haya mambo hayajaisha bado kiporo..
 
Hivi anayejua umuhimu wa msaafu halafu akauleta ukojolewe na ambaye hajui umuhimu wake akaukojolea nani mwenye makosa,mbona wote wanafaa wangepewa adhabu zao na siyo kulalia upande mmoja.Au kuna sababu zingine za siri?

Naonga Mkono hii hoja maana kuna watu baada ya kutumia na kuendeshwa na akili wanaendeshwa na hisia.
 
uislam na waislam sasa umegeuka kuwa kero nchi hii, kule z'bar fujo tupu, bagamoyo na sasa kizuiani. Hebu tujiulize itakuwaje siku wakristo nao wakiamua kuchoma misikiti. for sure waislam sasa mnanikera pengine kuliko kipindi kingine chochote kile katika maisha yangu. Aaaaaaargh.
 
Mtoto wa Kiislamu: " mtu yeyote atakayechezea quraan majini yatamuua hapo hapo"
Mtoto wa Kikristo: "mimi naweza kuukojolea na hakuna jini litakalonifanya chochote"
Mtoto wa Kiislamu: "kojolea tuone, kojolea sasa, mbona unaogopa..kojolea"
Mtoto wa kikristo: "Flup chwarararaarararararararara"
Mara pu pu pu mpaka polisiiiiiiii
Baadhi ya waislamu mbagala: "haiwezekani, huuuwii, wakristo wametutukana, walutheri na wa TAG na Wasabato na wakatoliki wametutukana, wamekojolea msaafu. Kwanza lete hako katoto tukaue."

Mara choma makanisa, choma vyombo vya muziki, pasua vioo.........

Hii inaonyesha baadhi ya waislamu wana hamu sana ya kushambulia wakristo, makanisa yao na mali zao. Wanangoja sababu kidogo tu.

Funzo kwa watoto wa kikristo wanaopenda ubishi:" ukichezea msaafu ni kweli kuna uwezekano wa kuuawa, lakini siyo kuuawa na majini bali kuuawa na waislamu wenye hasira kali."
 
nimefurahishwa na maelezo aloyatoa shekhe wa dsm, inaonenakana ameenda shule na ana uelewa zaidi ya madrasa, hawa wengine naonawana elimu ya kidini, tena dini yao tu hawana uelewa zaidi ya apo,,, Mungu awajalie wote tuwe na mwanga katika kufanya ya kila siku
 
..

Nashangaa sana watu mnaanza kulalamikia dini ilihali nyie wenyewe ndio mmepandikiza Udini na tena kwa furaha kubwa mkiitana dini za shetani, wengine wakiitwa Makafir sasa mlitegemea nini haswa kitakuja tokea..Kwa tabia hii kama hamtajifunza na hili la Mbagala basi kuna makubwa zaidi yatakuja milangoni mwenu na sijui mtakimbilia wapi....

Matunda ya Radio Imaan, An-Nuur, et. al. hayo Mkuu! Kweli, kama upuuzi huu usipodhibitiwa na tuliowapa mamlaka, tuko kwenye hatari kubwa kuliko maelezo.
 
MWINUKA E watu wanaongozwa na hisia na siyo kuangalia mambo na kukaa chini,maana makosa yapo kila upande!
Naonga Mkono hii hoja maana kuna watu baada ya kutumia na kuendeshwa na akili wanaendeshwa na hisia.

dudus,
Point linakuja pia kama huyu anajua umuhimu wa msahafu kwanini aulete utumiwe vibaya?halafu wanataka kumsulubisha mmoja!

Pointi muhimu sana Mkuu! Aliyeingiza limsahafu lake kwenye ubishi ndio awe wa kwanza kukamatwa na kushtakiwa. Eti, ukilikojolea utakuwa chizi; machizi wamekojolea kweli halafu mnang'aka. Upumbuvu mtupu.
 
Last edited by a moderator:
Unapiga siasa na imani za watu! Unacheza wewe!!!we juzi umeona ile filamu ya kimarekani ilivyoleta kashehse!! kwenye imani hakuna busara kama hizi za kisiasa siasa!


Imani tu bila hekma huzaa siasa kari na vurugu, imani nayoambatana na hekima huleta amani, uvumilivu, upendo na msamaha. Mungu wa vurugu si wa kweri
 
Hayo MAKANISA ambayo umeandika kua yamechomwa moto mbona hatuoni picha zake au ndo haina ya ukakanjanja wako....Unaandika hiki unapost kile mapicha yooote hayo umeshindwa ata kuonesha kanisa ata moja
 
Hebu weka jina na picha ya mtoto aliye cause all this fuss. Nakihitaji kichwa chake @ any price
 
hawa waislam wana wivu sn,sasa kesi ya kukojolea quran yaan ndo wameharibu hadi vifaa vya kanisani na kuharibu makanisa! wana uhakika gani km aliefanya hivyo ni mkristo au wameona anaitwa emmanuel basi wakajua ni mkristo.

Now kuna Television Iman!!
 
haaaaa!kwa iman yao mkubwa huyo shekh umesahau m2me alipga kdemu cha miaka 12?

Mkuu na wewe uko wapi? Alikilipia mahari kikiwa na miaka 7 (wengine hudai 6) kisha akakiingilia kilipofikisha miaka 9 kikiwa bado kinacheza na madoli yake. Na hiki si kingine bali ni A'isha.
 
Back
Top Bottom