Picha Matukio Ludewa - Filikunjombe apitiliza matarajio ya wengi

Wanasiasa bana hapa ndo wanapokera sana, hana nia ya dhati uyu sharobalo wa kihehe, sasa mpaka apigwe picha na azisambaze uyu ni nyamisifa pia nyamiujiko..

Umesema unakerwa sana? unakerwa na watoto yatima au kitendo cha mbunge kula nao na kutoa msaada? Nukufahamuvyo wewe pale mtaani kwenu kuna yatima kibao, hata kule kijijini kwenu wapo,tena wengine ni watoto wa ndugu wa ndugu zako, wewe umewasaidiaje? au mimi ndi sijaelewa hapa, hana nia ya dhati ya kufanya nini?
 
Tatizo la watu waliochoka na maisha hawakiona chema cho chote, ndiyo hatua ya watanzania wengi ilipofikia. Mafanikio au uwezo wa fulani kwa wapenda maendelea ni mfano unaopewa nafasi ya kutangazwa na kuigwa badala ya mfumo tuliozoea waafrika wengi wivu usio wa maendeleo ambao anayeendelea ni kufanya kila linalowezekana kudhoofisha jitihada zake.
 
Mungu akupe uzima uzidi kuwakomboa wana Ludewa. wanao kuonea wivu watakukubali japo kimnya kimnya.....
 
Wanasiasa bana hapa ndo wanapokera sana, hana nia ya dhati uyu sharobalo wa kihehe, sasa mpaka apigwe picha na azisambaze uyu ni nyamisifa pia nyamiujiko..
Punguza roho mbaya ebu kubali matokeo, kwanza ww mbunge wako nani na kafanya nn kwenye jimbo lake? usituchefue roho.
 
DSCF5094.JPG

Picha Kulia:
Diwani wa kata ya Lupingu kupitia chama cha TLP na mbunge wa jimbo la Ludewa (kulia) wakila chakula na yatima

Hapo kwenye red nadhani ilipaswa uandike "wakila chakula huku wakiangaliwa na yatima"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom