PICHA-- Mastaa wa Bongo wa kike na uvutaji wa sigara

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
LISA.jpg UWOYA.jpg WEMA.jpg

Hawa ni maselebu wetu toka shoto LISA, IRENE na WEMA hivi nauliza nini faida au madhara ya kuvuda fegi kwa wa kina dada???
 
Lakini mkuu ungeweka wazi kuwa hizo picha zilipigwa wakati hao warembo wanaigiza.
Yaani zilipigwa wakati wanaekti muvi, sini ya kuvuta sigara.
 
Ndibalema. Hata kama walikuwa wana act tu lakini hawa watu wana kashfa nyingi sana hivyo mimi si wezi kuwatetea hata kidogo maana kuna ambao majuzi tu kashfa zao zimetoka kwenye magazeti ya udaku!
 
Last Friday night nilikuwa Mzalendo pub kwenye shoo ya Machozi band, kuna dada mmoja aliniboa sana. Alikuwa anapuliza moshi kama treni na kutukera wote tuliokuwa tumekaa meza ya mbele yake. Watu walipojaribu kumsihi azime fegi yake alikuja juu na kusema kila mtu na starehe yake, asiyependa fegi akae mbali! Wallah nilisikia hasira sana na nilitamani nimpige vichwa ila kwa heshima ya shemeji yenu nilijizuia. Hivi Tanzania kuna sheria yoyote kuhusiana na uvutaji wa sigara kwenye public?
 
Sheria ipo ila haifuatwi si unajua serikali yetu kwa kusinzia ila hta mimi nina shka hv kweli vichuda hv vinavuta.
Last Friday night nilikuwa Mzalendo pub kwenye shoo ya Machozi band, kuna dada mmoja aliniboa sana. Alikuwa anapuliza moshi kama treni na kutukera wote tuliokuwa tumekaa meza ya mbele yake. Watu walipojaribu kumsihi azime fegi yake alikuja juu na kusema kila mtu na starehe yake, asiyependa fegi akae mbali! Wallah nilisikia hasira sana na nilitamani nimpige vichwa ila kwa heshima ya shemeji yenu nilijizuia. Hivi Tanzania kuna sheria yoyote kuhusiana na uvutaji wa sigara kwenye public?
 
Last Friday night nilikuwa Mzalendo pub kwenye shoo ya Machozi band, kuna dada mmoja aliniboa sana. Alikuwa anapuliza moshi kama treni na kutukera wote tuliokuwa tumekaa meza ya mbele yake. Watu walipojaribu kumsihi azime fegi yake alikuja juu na kusema kila mtu na starehe yake, asiyependa fegi akae mbali! Wallah nilisikia hasira sana na nilitamani nimpige vichwa ila kwa heshima ya shemeji yenu nilijizuia. Hivi Tanzania kuna sheria yoyote kuhusiana na uvutaji wa sigara kwenye public?

Nakumbuka sheria ipo ya kuzuia kuvuta kwenye hadhira
 
Back
Top Bottom