PICHA: Mama Maria Nyerere amsalimia Rais Museveni kwa heshima zote

ByaseL

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
2,225
247
Museveni-greets-Maria-nyerere.jpg

e years, with the leadership of Cardinal Emmanuel Nsubuga, the shrine was built.
Museveni-greets-Maria-nyerere.jpg

President Museveni greets Mama Maria Nyerere (inaugural First Lady of Tanzania)
 
Serikali ya ccm imemtenga ngoja akajitafutie mwenyewe kwa rafiki wa mme wake.ma ccm bwana hayana shukurani.
 
Aaah mama nyerere nini tena?unampigia magoti huyo dikteta wa uganda aliyeng'anga'ania madaraka
Walikudanganya mama yetu toa tamko kupiga
 
tatizo tuliwaambia wake zetu majumbani watusalimie namna hii - wanagoma!! sasa hebu oneni mfano huu, hii ndiyo heshima tangu enzi za mababu, wanawake walikuwa wakipiga magoti kusalimia na hata wakati wa kuongea na mzee mambo ya muhimu!!


Museveni-greets-Maria-nyerere.jpg
 
Kajidharirisha, utapigiaje magoti mtu unaemzidi. Asirudie tena

Jamani, kuweni watambuzi. Suala mnalopaswa kujiuliza ni kwamba Mama Nyerere amewahi kumpigia magoti Mkapa au Kikwete? Hapa huyu mama alikuwa anataka kutoa ujumbe kwa jamii ya Watanzania!
 
Hivi wazanaki nao wana magoti kumbe?
watu wote wana magoti, we unadhani bila magoti watatembeaje au kukaa bila magoti, hadi robot ametengenezewa magoti ili aweze kujikunja, siku nyingine unaweza ukauliza hivi watu fulani kumbe wana vichwa...
 
Jamani yani hapo napo kwani kuna ubaya gani kufanya hivyo hebu muacheni mama atakavyoona yeye inafaa ndivyo
 
Mkuu Una Utani Na Sisi? Nadhani Ni Utaratibu tu Hata Kwa Makabila Mengine Kama Sijakosea!

No hapo ni Kanisani na mama Nyerere anasali, hivyo ni Mseveni alienda kumsalimia maana aliingia ibada ikiwa imeshaanza maana yeye si wa dini hiyo ya mama Nyerere.
 
No hapo ni Kanisani na mama Nyerere anasali, hivyo ni Mseveni alienda kumsalimia maana aliingia ibada ikiwa imeshaanza maana yeye si wa dini hiyo ya mama Nyerere.

Museveni-greets-Maria-nyerere.jpg


Picha haiendani na maaelezo yako. Kiti cha museveni kile pale.............
 
Back
Top Bottom