[PICHA] Maandamano ya CHADEMA Chato na Katoro

Fanyeni ujinga wenu wa maandamano huko huko kwa Wakatoliki wenzenu, lakini msije Dar kwa Waislamu. Mkija Dar, mtaona mapamabano kati ya Chadema-Christian Party na Waislamu. Ondoeni upuuzi wenu, uchaguzi umeshapita fanyeni kazi ili mujenge taifa.

Huko Dar tunakuja subiri labda hujajua mafisadi wenzakko sasa wanahanyahanya wewe ni mjinga usiyejua nguvu tuliyonayo ila subiri muda si mrefu tutafika ikiwa ni kweli kuwa hatujafika Dar kwa akili zako zilizoota ukungu. iwe ni cha kidini au cha kikabila kazi yetu ni moja tu kuyabwaga mafisadi na watu wate wenye fikira mgando kama wewe watu wanapoxungumxia maendeleo ya nchi wewe unakazania udini. Subiri. utakutana na nguvu ya uma hivi karibuni.
 
Mkuu analysis gani tena hapo wakati picha zinajionyesha. Watoto kibao hawapigi kura. Pia vijana kibao ambao kelele nyingi lakini hawapigi kura. Unawaona wazee wangapi kwenye hizo picha? Wazee wengine ndio huwa wanapiga kura, ila wapo wachache sana kwenye picha ambazo nimeziona so far.

Kwa nilivyoshuhudia ni kwamba Mikutano ya Chadema Inawavuta wananchi Wote na Warika zote. Wanaoonekana ndio wananchi watanzania waliopo katika eneo husika. Nahisi swali lingekua mbona Tanzania inawatoto na vijana wengi na Hakuna wazee?. Kuhusu upigaji kura wa Tanzania NEC na ZEC watakua wanaelewa zaidi nani anapiga kura hasa baada ya 'mazingaombwe' yaliyotokea baada ya upigaji kura Mwaka jana.
 
Kumbe nimeanza kupata picha... kama Busanda ndio hivi... Chiligati na mwenzie wana haki ya kuogopa.

ukiangalia picha hii kwa umakini , utaona idadi ya watoto walio chini ya miaka 18 ni wachache sana ukiringanisha na mikutano ya Chama Chetu Mpaka. Ila kwamatarajio yangu hawa ndio wapiga kura wa mwaka 2015.
 
Yaani mmefanya kazi nzuri sana ambayo haiwezi kuelezeka.
Yes it is irreplaceable indeed.
You have left a blue print with everlasting memories every where you you touched in.
We pray to almight God to bless all of you through all the situation you might be passing!
 
Kwa hiyo wewe unaamini kilq aliyekujaq kwenye maandamano angekupa kura siku ya uchaguzi? Ndo maana mkishindwa mnasema mmeibiwa hamjui analysis,kuna watu wanakuja kusiliza hoja na matusi ya chadema maana kundi zima linafanana na the komedy!
 
Wananchi wanachukua majukumu mikononi mwao. Tunakumbuka jinsi gani wazazi wetu na story za mababu zetu walivyoonewa na kulazimishwa kukubali sera za ccm? Wakati huu wananchi wapo empowered to face ccm na wizi wao, this is the end of ccm and Kikwete must go.
 
We appreciate the efforts you guys are making for the purpose of making the land of Tanzania the best place to live . Tupo pamoja !
 
Mkuu analysis gani tena hapo wakati picha zinajionyesha. Watoto kibao hawapigi kura. Pia vijana kibao ambao kelele nyingi lakini hawapigi kura. Unawaona wazee wangapi kwenye hizo picha? Wazee wengine ndio huwa wanapiga kura, ila wapo wachache sana kwenye picha ambazo nimeziona so far.

Nadhani una matatizo ya macho...watoto wako wachahce na wamewekwa hapo mbele (ndio maana unawaona kwanza) watu wazima(sio wazee kama unavyotaka wewe) wako wengi tu huko nyuma yao...wazee wamelala nyumbani wakisubiri sukari ya Magufuli ya bure
 
Back
Top Bottom