[PICHA] Maandamano ya CHADEMA Chato na Katoro

I wish na CCM nao wafanye maandamano lakin without Entertainment or free transport (Ili waende wale tu ambao huwa wanaenda kwa dhamira yao) sijui watahudhuria wangapi...(

You can just count, hawatakua wengi, Jk, ma Salma, Riz1, MC wao makamba na mwenyekiti wa mkoa wa eneo husika.
 
Nimeshaanza kuona asubuhi baada ya usiku mrefu sana,ee mungu walinde viongozi wangu.CDM FOREVER
 
Fanyeni ujinga wenu wa maandamano huko huko kwa Wakatoliki wenzenu, lakini msije Dar kwa Waislamu. Mkija Dar, mtaona mapamabano kati ya Chadema-Christian Party na Waislamu. Ondoeni upuuzi wenu, uchaguzi umeshapita fanyeni kazi ili mujenge taifa.
 
Asante sana dada Regia,nimejisikia kama nipo chato leo kwa jinsi ya picha zinavosisimua na wingi wa watu. Mwelekeo ni kwamba kitaeleweka, ujumbe umewafikia watz wote, tunawasubiri dar na mikoa ya kusini.

Nadhani mwendo ni huu huu kwa mambo yote ya kitaifa,hata swala la katiba likija nalo lipewe uzito huu, muwe wa kwanza kuwaelimisha watz wote.

Kila la kheri chadema wapenda amani ya kweli (sio amani ya nazaria ya ccm ya watu kulala njaa); ni chadema pekee inayoukataa ufisadi waziwazi; ipewe nguvu na uimara kwa viongozi wake,watuongoze kuikomboa nchi yetu tanzania iliyozama kama nchi ya kusadikika!
 
Asante Mh. mbunge Regia kwa kutuwekea picha hizi. Mwaka huu CCM wameanza vibaya na wembe uendelee hivi hivi hadi 2015.
 
Fanyeni ujinga wenu wa maandamano huko huko kwa Wakatoliki wenzenu, lakini msije Dar kwa Waislamu. Mkija Dar, mtaona mapamabano kati ya Chadema-Christian Party na Waislamu. Ondoeni upuuzi wenu, uchaguzi umeshapita fanyeni kazi ili mujenge taifa.

Kuna sehemu zinazoheshimika hapa Dar, kama St Peter's na St Joseph. Achana na akina shehe ubwabwa wa Magomeni.
 
While we are @ it, lazima sasa techniques za hali ya juu zitumike kuwa isolate viongozi wa juu na mafisadi. Hapa nina maana ASAP Chadema waongeze wafanyakazi wa chini wa serikali kama watu ambao chadema inawatetea ukijumlisha na vijana maskini na wananchi maskini kwa ujumla. Kwa kuanzia Chadema waweke wazi kuwa wanataka watu muhimu kama walimu, madaktari walioajiriwa kwenye hopsitali za serikali, Polisi wa chini, wanajeshi wa chini, manurse na wafanyakazi wengine kwa ujumla waboreshewe mishahara. I believe ili litaiweka serikali kwenye wakati mgumu na hapohapo kwafanya hao polisi ambao hawafikirii kutoka na ufinyu wa elimu kupiga wananchi na viongozi wa chadema wakati hiyo cake inaliwa na hao viongozi wa juu na mafisadi.

Hiyo ni dira sahihi, wanayo tayari ila tu wawe priorities ktk mikakati yote ya ukombozi ikiwemo hiyo ya kuwalenga wafanyakazi na vijana kwa ujumbe wa moja kwa moja ili nao wajue ukombozi umeshawadia na kilichosalia ni wao wakate shauri, waupokee bila woga.
 
Fanyeni ujinga wenu wa maandamano huko huko kwa Wakatoliki wenzenu, lakini msije Dar kwa Waislamu. Mkija Dar, mtaona mapamabano kati ya Chadema-Christian Party na Waislamu. Ondoeni upuuzi wenu, uchaguzi umeshapita fanyeni kazi ili mujenge taifa.

Kati ya walio na ubongo tanzania nawe unajihesabu umo?
yaelekea unafikiria kutokea kwenye nyayo, au kuna maruhani anakusaidia kufikiri nawe unatamka tu.
mnaigawa nchi ktk kanda za kidini! na unajiona upo timamu? fikra mfu, ila wewe kimwili unatembea unajifariji. laana yako ipo ktk fikra zako.

akili zako na wenzako ni kama za panzi ndio maana mnafikiria kwa style ya panzi - 'hoppers' mara ktk udini, mnakwama, mnaingiza ukabila mnakwama, mnabaki kuruka-ruka kama panzi...hakuna fikra.
 
Muulize Padre Slaa kwanini anafanya kampeni za Udini na Ukabila. Unafikiri Padre Slaa atakuwa Rais wa nchi hii? No way. Unafikiri Waislamu watakubali kutawaliwa na Padre Slaa ambaye kapania kuwamaliza Waislamu ktk kila nyanja. No Way.
Padre Slaa akija Dar na ujinga wa maandamano yake, basi ujue Counter-Attack yake inamsubiri.
 
maneno hayo tuliyasikia sana mbeya mpaka mpesya akadondoka we cheza na cdm tuu kama unaipenda ccm mwambie mwenyekiti mjipange acha kutoa majibu mepesi kwenye masuala magumu mkuu!

Acha assumptions! Mtu akisema akisema kitu kinachopingana na Chadema basi ni CCM? It was just my observations.
 
chadema ni kama wana utoto fulani hivi. Libya ni nchi tajiri. Wanaleta kelele ni wanasiasa wasio jua nchi imetoka wapi, inakwenda na dunia iko wapi kiuchumi. Furaha yao ni kuona watu wengi wanapiga kelele na mabango mengi. Hali ya uchumi na wasomi kuwe wengi ni tatizo la nchi nyingi. Huwezi kubali mfumo wa uchumi kwa nchi tegemezi kama tanzania kwa maandamano. Msemo wa kodi za wananchi ni wakati mwingine ni vigumu kuuelezea. Asilimia kubwa ya bajeti inategemea wafadhali. Wafanyabiashara wengi pamoja na wewe unayelalamika hawalipi kodi. Mfano mara ngapi watanzania waomba risiti zenye tin namba kama ushahidi wa kulipa hiyo kodi. Tafakari. CDM tayari ni maarufu sioni sababu ya kuandamana eti kwa nini gharama zinapanda. Ukishawishi wananchi kuchukia serikali next ni kufanya lolote kama ya arusha. Huu ni uhuni wala sio uhaini. Tutakao umia ni sisi walala hoi. Mbowe is rich, ndesa is rich, slaa is rich, and others. Wafuasi wao wote are poor. Kwa nguvu ya pesa lazima maskini akufuate. Think.
 
Fanyeni ujinga wenu wa maandamano huko huko kwa Wakatoliki wenzenu, lakini msije Dar kwa Waislamu. Mkija Dar, mtaona mapamabano kati ya Chadema-Christian Party na Waislamu. Ondoeni upuuzi wenu, uchaguzi umeshapita fanyeni kazi ili mujenge taifa.

unaugonjwa wa akili-au umetumwa na baba yako ccm. Sisi ni watanzania, na utanzania wetu ndo tunajivunia wala si dini au kabila. Mimi mwenyewe ni muislam; lakini hiyo siyo identity yangu niitakayo tunapozungumzia ukombozi wa tanganyika yetu
 
Ukombozi hauji kwa sifa za kijinga kama za chadema. Baadala ya kuwashari wananchi wachape kazi wanawataka wananchi kuwa barabarani. Crazy.
 
While we are @ it, lazima sasa techniques za hali ya juu zitumike kuwa isolate viongozi wa juu na mafisadi. Hapa nina maana ASAP Chadema waongeze wafanyakazi wa chini wa serikali kama watu ambao chadema inawatetea ukijumlisha na vijana maskini na wananchi maskini kwa ujumla. Kwa kuanzia Chadema waweke wazi kuwa wanataka watu muhimu kama walimu, madaktari walioajiriwa kwenye hopsitali za serikali, Polisi wa chini, wanajeshi wa chini, manurse na wafanyakazi wengine kwa ujumla waboreshewe mishahara. I believe ili litaiweka serikali kwenye wakati mgumu na hapohapo kwafanya hao polisi ambao hawafikirii kutoka na ufinyu wa elimu kupiga wananchi na viongozi wa chadema wakati hiyo cake inaliwa na hao viongozi wa juu na mafisadi.

Umeteleza sana mkuu, supporters wa CHADEMA ni Wafanyakazi almost wote sema hawajitokezi hadharani. polisi na wanajeshi Mwanza wanasupport CHADEMA,siku ya kupiga kura walikuwa wanapanga watu kwa "ishara ya vidole viwili"
 
Dada tunakushukuru kwa tutumia picha hizo naomba uendelee na moyo huo wa kutujulicha kinachoendelea katika picha Je mikutano yetu mingine itaendelea lini?
moz-screenshot.jpg
moz-screenshot-1.jpg
 
chadema ni kama wana utoto fulani hivi. Libya ni nchi tajiri. Wanaleta kelele ni wanasiasa wasio jua nchi imetoka wapi, inakwenda na dunia iko wapi kiuchumi. Furaha yao ni kuona watu wengi wanapiga kelele na mabango mengi. Hali ya uchumi na wasomi kuwe wengi ni tatizo la nchi nyingi. Huwezi kubali mfumo wa uchumi kwa nchi tegemezi kama tanzania kwa maandamano. Msemo wa kodi za wananchi ni wakati mwingine ni vigumu kuuelezea. Asilimia kubwa ya bajeti inategemea wafadhali. Wafanyabiashara wengi pamoja na wewe unayelalamika hawalipi kodi. Mfano mara ngapi watanzania waomba risiti zenye tin namba kama ushahidi wa kulipa hiyo kodi. Tafakari. CDM tayari ni maarufu sioni sababu ya kuandamana eti kwa nini gharama zinapanda. Ukishawishi wananchi kuchukia serikali next ni kufanya lolote kama ya arusha. Huu ni uhuni wala sio uhaini. Tutakao umia ni sisi walala hoi. Mbowe is rich, ndesa is rich, slaa is rich, and others. Wafuasi wao wote are poor. Kwa nguvu ya pesa lazima maskini akufuate. Think.

Kweli wewe ni mjinga wa mwisho yaani unafikiri Slaa anafuatwa kwa sababu anapesa! uko wrong ki ukweli. ivi Kikwete na Slaa nani anapesa zaidi, mbona kikwete akiitisha mkutano watu licha ya kupewa usafiri hawaji ila mafisadi na vibaraka wenzake? ivi ulisha wahi kujiuliza kati ya Mbowe na Luwasa nani ni tajiri zaidi? jichunguze ama huelewi unachokiongea au una matatizo ya akili. watu hawafuati pesa kwa slaa wala mbowe watu wanafuata moyo walionao hao jamaa wa kutetea haki za wananchi. ndiyo maana wanawasapoti kama wangefuata pesa basi wangekwenda kwenye mikutano ya hao majambazi wa rasilimali zetu,

Upo hapo? crazy
 
Back
Top Bottom