Picha: M4C yazoa wanaCCM maarufu kwa Pinda

jama popote ulipoendelea kuhamasisha watu na kuwaelewesha sehemu ya kupata kadi tusisubiri viongozi hii vita ya kuwaondoa magamba siyo ndogo...
 
CHADEMA wanapokea wanachama wanaotoka ccm, wanawapandisha jukwaani.
CCM wanapokea kadi hazijulikani zinatoka wapi, hazina hata majina. ccm hawana tofauti na boko haram
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
Bado sana chadema. Hizi picha za Arusha mnasema Pugu, acheni kudanganya watu

Nimerudi jamvini. CCM oyee!
 
kinacho furahisha ni kuwa majority ni vijana
Tafsiri yake ni kwamba hata ccm ikipenya 2015, huo ndio utakuwa mwisho wake rasmi!..
Wazee wanaoikumbatia ccm leo, ndani ya miaka 10 ijayo watakuwa walishachanganyikana na udongo kwa kutumia nguvu ya bacteria!
 
Mimi sina tatizo na nyumba yake, tatizo langu ni kwa nini kaleta hapo wazazi wake? wamebomokewa nyumba? hawakuwa na makazi? au sasa ndio makazi yao ya mwanzo ambako walimzalia na kumkuza mtoto pinda hayawafai tena?

Sio hayafai tu alijaribu kuwajengea kibanda kule ishu ikawa hakuna maendeleo kule CCM walisema kule kunafaa kuwa hifadhi ya taifa hivyo hakuna huduma yoyote itakayopelekwa kule,akawawekea solar power wakaanza kulogwa akaona tabu nini hameni wazee.
 
Tafsiri yake ni kwamba hata ccm ikipenya 2015, huo ndio utakuwa mwisho wake rasmi!..
Wazee wanaoikumbatia ccm leo, ndani ya miaka 10 ijayo watakuwa walishachanganyikana na udongo kwa kutumia nguvu ya bacteria!

PK I like your comments.
Hata hivyo, on the fare ground possibility ya ccm kupenya ni ndogo sana may less than 20%. Kilichonishangaza Pugu ni kwamba mkutano uliisha na watu wakawa na hamu kutaka kuendelea kutusikiliza. Time has come for ccm to accept changes.
 
Bado sana chadema. Hizi picha za Arusha mnasema Pugu, acheni kudanganya watu

Nimerudi jamvini. CCM oyee!

calculator mbona unataka kudanganya watu?! ... sasa na hicho ki-hice cha ruti ya Pugu wewe ndio ulikiendesha hadi Arusha? ... umeangalia Rangi ya Mkanda wa RUTI yake?


attachment.php



Angalia Rangi ya Mkanda wa Hiace kwenye picha ya chini (nyuma kulia) ... Si Pugu hiyo/ ... au wewe ndio huwa unasanyia Arusha?


attachment.php
 
Back
Top Bottom