Picha:Lulu Mahakamani

Status
Not open for further replies.
Superman kwa hadhi yako hapa jukwaa hukustahili kuweka picha kama hii ambayo watu watafikiri ni ya leo Kisutu. Mambo haya alitakiwa afanye Junior member mkuu.

hata mimi mpaka jana nilikuwa member tu hata huo u-junior member nilikuwa sina ila siwezi kufanya hii kitu.., inabidi ufike wakati tuanze ku-judge people according to their actions and not the status of their membership...
 
Superman kwa hadhi yako hapa jukwaa hukustahili kuweka picha kama hii ambayo watu watafikiri ni ya leo Kisutu. Mambo haya alitakiwa afanye Junior member mkuu.

Jamaa hajatulia anawaza udaku tu. Kama hauna point siyo lazima kuandika humu
 
Mnanichanganya sasa jf, kuna nyingine jamaa kaipachika huyu dada akiwa amevaa ushungi sijui nini rangi nyeupe. Tuelewe nini cc 2liombali?
 
Superman kwa hadhi yako hapa jukwaa hukustahili kuweka picha kama hii ambayo watu watafikiri ni ya leo Kisutu. Mambo haya alitakiwa afanye Junior member mkuu.

Ana hadhi gani hapa jukwaani?........hadhi yake ndiyo hii aliyoionesha hapa.
 
Sijaona hata pahala pamoja ambapo Superman ameharibu au kupotosha!
Mimi binafsi ndio najifunza leo kuwa huyu binti alishafikishwa kwa Pilato kwa mara ingine apart from kesi yake ya sasa!
Aksante sana Superman!
 
Kweli kabisa, amefanya vyema kutujuza kwamba huyu bint aliishawahi kufika mahakamani hapo kitambo. Mie mwenyewe nilikua sifahamu, kumbe ana uzoefu wa kujieleza kwa polisi na kortini.
 
Watu mnapenda kulalamika! Mnamlaumu bure Superman. Mbona hizi sentensi 2 za mwanzo zinaeleweka sana? Huo sasa ni uvivu wa kufikiri. ona tofauti:

"Pichani:
Elizabeth Michael ‘Lulu' akiwa katika
Mahakama ya Mwanzo Kinondoni
(lol), Dar es Salaam mwaka jana alipokuwa akituhumiwa kumshambulia kwa matusi ya nguoni, mlalamikaji Kilakhaba Aziz".

"Msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu' leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka la mauaji"
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom