(PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

wantanzania tuna matatizo makubwa sana katika vichwa vyetu.
mtu anakuibia, na unajua amekuibia lakini bado unaendelea kumshangilia ili apate nguvu ya kukuibia zaidi muda mfupi ujao. tunaitaji pigwa viboko!

nimekumbuka wimbo wa bob marley wa redemption song wenye hii verse " Emancipate yourselves from mental slavery; None but ourselves can free our minds."
 
Hivi CCM hata picha za kuchakachua mmeishiwa? wekeni hata za kuchakachua bana
 
Huu ndio ujuha mwingine mutaingia sana photo shops ili mujitengenezee matukio katika picha. Hii picha imebandikwa kuhadaa watu, hapo kwanza si Arumeru na hiyo ya chini yake ni mikutano ya chama Dar! shame on you all
Hili imeanza kuwa nzuri kwa upande wa CCM baada ya Jemedali Luteni Edward Lowasa kutua
arumeru, kweli nimeamini Lowasa ananguvu mitaa yote ya Arumeru walikuwa wanamshangilia
yeye Picha nyingine zitafuata

monduli11.JPG

03_12_v5kb2e.jpg
 
Siju kama macho yangu hayaoni vizuri, naona kama wengi ni watoto vile !! Ni wapiga kura kweli hawa ?
 
Hili imeanza kuwa nzuri kwa upande wa CCM baada ya Jemedali Luteni Edward Lowasa kutua
arumeru, kweli nimeamini Lowasa ananguvu mitaa yote ya Arumeru walikuwa wanamshangilia
yeye Picha nyingine zitafuata

monduli11.JPG

03_12_v5kb2e.jpg

Woow...Hii imetulia saaana...

....CDM imeshakula kwenu. ....Wengi humu sijui kama watakuwa na uwezo wa kudonoa key boards zao ifikapo Jumatatu.

Ndo siasa hizo. Poleni.
 
Kuna baadhi ya watu naona 'vidole viwili'!!! Very telling!

Hivi hawa wanajumuisha na wale walioletwa na vibasi toka Monduli?
 
Hili imeanza kuwa nzuri kwa upande wa CCM baada ya Jemedali Luteni Edward Lowasa kutua
arumeru, kweli nimeamini Lowasa ananguvu mitaa yote ya Arumeru walikuwa wanamshangilia
yeye Picha nyingine zitafuata

monduli11.JPG

03_12_v5kb2e.jpg

Lowasa kumbe ni jemedari?
 
Hili imeanza kuwa nzuri kwa upande wa CCM baada ya Jemedali Luteni Edward Lowasa kutua
arumeru, kweli nimeamini Lowasa ananguvu mitaa yote ya Arumeru walikuwa wanamshangilia
yeye Picha nyingine zitafuata

03_12_v5kb2e.jpg

Ndugu;

Lakini picha hi siyo ya leo; kwani nakumbuka nishaishuhudia katika ITV siku nyingi tu walituonyesha Picha hii ili tuamini kuwa mikutano ya CCM ina watu wengi.

Na wewe leo unatufanya Wadanganyika tena.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Lema, yupo wapi alimpiga mkwala Lowassa, eti akija Arumeru Mashariki atamchafua.
 
jamani acheni watoto wetu wasome!kila siku mnawaswaga kwenye mikutano?!

Halafu hichi kitufe cha "Like" kiko wapi ? Ningekugongea Like x 1,000,000. Leo ni siku ya shule, watoto wa shule wako kwenye hii picha walimu huko darasani wanamfundisha nani ? Au nao wapo kwenye hii picha!!
 
Burudaaani kweli kweli! Jf tuna siasa za kindugu, huku Rejao kule PJ hakuna matusi wala ngumi. Safi sana.
 
Back
Top Bottom