Picha kwenye uombaji wa kazi

NICK2275

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,931
918
Nimekutana na nafasi za kazi zinamtaka muombaji atume picha ndogo moja ya rangi (passport-size)
naomba kama kuna mwenye uelewa wa kazi za hizi picha anifahamishe-maana kama wao wanabase kwenye matokeo ya mtu kwa nini wahitaji picha ya muombaji,na kama swala ni kuona sura za waombaji-si bora wasubirie siku ya interview waangalie watu wao-maana kwa mtindo huu wa kutuma picha wanafanya kuwe na gharama nyingine mpya za kuwa na lundo la passport size nyingi ili kila organization itakayo kuwa inahitaji picha uzitume
 
NI sahihi kabisa. CV na barua vinasaidia kutambua education, picha inatambulisha general appearance. test ni competence on the specifik job na interview ni kuona confidence yako na namna unabehave wakati wa stress.
Kuna baadhi ya kampuni wanatoa vya picha coz watakuona wakati wa interview ila kama kampuni inalazima ya mtu good looking ao kama inahisi candidates watakua wengi sana basi wanaleta hiyo ya picha kuanza kuchuja mapema.
Good looking sio handsome. good looking ni msafi, na anavaa professional for the job. ukituma ka picha ka hovyo tayari wanapata picha... (so to say)
 
je kwa sisi ambao tumezaliwa na sura za kutisha ambazo hazina mvuto wowote-ambazo mtu akituangalia kupitia picha anaweza kutu-judge vibaya-just kwa sababu ya sura zetu -huoni kuwa picha hapo zitakuwa hazitundei haki
 
km sura inatisha sana kajaribu kuomba hata picha ya mzee wasira ili uitumie.
 
hahahahaha Wapeni kama bahati yako hiyo kazi utapata, unamanisha sura yako haina mvuto yani hata wakibinadamu? sio kweli jiamini utafanikiwa kupata kazi.
 
...Upande wa pili: Katika hii dunia ya leo picha ni kitu pekee ambacho mwajiri anategemea kwa ajili ya USALAMA wa kampuni/taasisi yake.

Waombaji kazi wa siku hizi wengi ni CHAKACHUA na wengi wana Ukosefu wa Maadili Kichwani (UMAKI). Hivyo waajiri wanawajibika kujitahadharisha mapema kwa kupata picha ili kuwezesha yafuatayo:

1. Kuwaachuja mapema wasiofaa - ambao wameshafanya
matukio sehemu nyingine (hasa kwenye mabenki na kampuni za simu)
2. Kuwa na kumbukumbu sahihi za kutumia hapo baadaye kwa sababu za kiusalama.

Ni waajiri wachache wanaotaka picha ili kucheck sura za mvuto (labda kazi za reception na sales reps. kutokana na mahitaji ya kazi yenyewe).
Hivyo, kama hujafanya tukio na kubadilisha majina na huna vyeti feki, huna haja ya kuogopa kuombwa picha. Dunia imeoza hii.

... CHECK YOUR INTEGRITY.
 
Picha has no correlation na performance ya mtu mi naona wanaleta uhuni, coz hata customer care ukiwa na good face but ukarimu zero hapo face imesaidia nn
 
je kwa sisi ambao tumezaliwa na sura za kutisha ambazo hazina mvuto wowote-ambazo mtu akituangalia kupitia picha anaweza kutu-judge vibaya-just kwa sababu ya sura zetu -huoni kuwa picha hapo zitakuwa hazitundei haki

Ungetakiwa uwe Jeshini see bellow for your reference
261813_224658864225346_100000437012547_837875_3271308_n.jpg
 
Nimekutana na nafasi za kazi zinamtaka muombaji atume picha ndogo moja ya rangi (passport-size)naomba kama kuna mwenye uelewa wa kazi za hizi picha anifahamishe-maana kama wao wanabase kwenye matokeo ya mtu kwa nini wahitaji picha ya muombaji,na kama swala ni kuona sura za waombaji-si bora wasubirie siku ya interview waangalie watu wao-maana kwa mtindo huu wa kutuma picha wanafanya kuwe na gharama nyingine mpya za kuwa na lundo la passport size nyingi ili kila organization it....picha zinasaidia kwenye kuchakachua. Imagine shemeji yako kakupa pande kwa best yake, jina pekee haitosh coz anaweza sahau. So ikitumwa na picha inakua rahc kukumbuka.
 
kwa kazi ya it nawezasema ni ulimbukeni wakipambafu wa ma hr wana do business as usual ,ila kuna kazi kama front desk,bank,secretary marketting mvuto una nafasi yake
 
nadhani ni kiusalama zaidi pengine kurahisisha na utengenezaji wa document zako pale unapopata kazi..kama unakosa wanaweza kuiweka kumbukumbu 4 next exercise..usiogope hata kama umefanana na 'baba yako wassira'
 
ungetakiwa uwe jeshini see bellow for your referenceView attachment 34120
kama unangeu za kutosha tafta ya nduguyo, mi sidhani kama kuna mantiki yoyote kutaka picha wakati wa maombi ya kazi! Ukipata ajira ni sawa!utakuta nanga yenyewe inapaa hata vijisenti vya kufotoa picha ngumu kupata, kampuni kama 3 ulizoonba kazi wanataka picha, yaani mtu UNAWEZA kutoka kimara mpaka posta kusaka ajira by foot! hela ya nauli umepigia picha, wakiwaita kwenye intrv si wanawaoga?
 
Nimekutana na nafasi za kazi zinamtaka muombaji atume picha ndogo moja ya rangi (passport-size)

Ni kazi za aina gani hizo?

naomba kama kuna mwenye uelewa wa kazi za hizi picha anifahamishe-maana kama wao wanabase kwenye matokeo ya mtu kwa nini wahitaji picha ya muombaji,na kama swala ni kuona sura za waombaji-si bora wasubirie siku ya interview waangalie watu wao-maana kwa mtindo huu wa kutuma picha wanafanya kuwe na gharama nyingine mpya za kuwa na lundo la passport size nyingi ili kila organization itakayo kuwa inahitaji picha uzitume

Kwa wenye equal employment opportunity under the law tayari kungekuwa na bonge la lawsuit kama sio class-action suit dhidi ya hizo kampuni au mashirika yanayofanya hivyo. Sioni mantiki yoyote katika kuomba picha ndogo ya mtu katika hatua za awali za uombaji kazi. Mtu unaweza ukajenga hoja tena kwa urahisi kabisa kuwa kwa kufanya hivyo wanabagua watu au wanajenga mazingira ya kurahisisha ubaguzi wa watu kwa misingi ya mionekano yao.
 
mimi nakubalia na picha tu kama zitahitajika kwenye interview hapo sawa ..lakini utuume application na picha tena uhakika wa kuitwa haupo na unaweza usiitwe kabisa why ? wanacheck sura ili wa shortlist ? i dont see the point here !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom