Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 104
Tofauti ni kwamba machozi ya Lisu yanatokana na emotion km wanajukwaa walivyoeleza, na ni kawaida watu wengi kulia anapopata ushindi. Machozi ya Pinda alikuwa analilia uwaziri mkuu, kama angekuwa na na uchungu kwa mauaji ya albino angelia siku aliposema wauaji wa albino wanyongwe
Huwezi kuwa seriouz; natambua unakijua kiujazacho moyo wako ila ni ushabiki tu wa kisiasa ndo umeupa kipao mbele" Tofauti na hapo ntakua sijakosea nikisema kuwa nawe wayafagilia mauaji ya Albino!!