Picha Kutoka BBC: Kura ya maoni yafanyika Zanzibar

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
BBC Badilisheni hii Picha.

090908050715_sp_zanzibar_ap_226x170.jpg

Hii Picha ipo kwenye kurasa ya mbele kabisa kwenye tovuti ya BBC swahili, hakika ilinistua kwa kuiona hii picha nikajuwa kuwa kuna matatizo kwenye upigaji kura ulojiri tarehe 31 July 2010
 
Hawa BBC kazi yao bado ni ile ile ya uchochezi na vitina. Kwa nini wanaweka picha ya zamani ambayo haihusiani na kura ya maoni inayoendelea sasa ?

Hawafikirii uzito wa habari wanazotoa kabla ya kuzitoa. Vipi watu watafikiria wakiona picha hii na hali wanasikia uchaguzi unakwenda shwari ?

Watamzania chichungeni na hawa wafitinaji.
 
Wakuu,

Wamewasoma na kurekebisha haraka, nadhani 'response' hii inatia moyo; huenda waliteleza :biggrin:
 
Picha bado ipo, BBC is doomed.If you dont have picture of the event you dont put a picture.But putting an old violent picture, on a peaceful event doest work with me.

Anyways, some of these news agent like to project bad image of Africa.Thats just a general issue not just about Zanzibar, dont get embarrassed when a muzungu think every african live in hunger or dying in a primitive life survival techniques :A S shade:
 
ahahahaaaaaaaaah, hawa jamaa wamezidi kutuona sisi wajinga, hata masuala yahusuyo amani they try to potray bad image of Africans, they are dumb enough, hawajui kuwa sasa ni wakati wa mwafrika kushine, mimi juzi tu huku nchini kwa watu, tulikuwa bar jamaa nikawapiga round, wanashangaa sijui wanaona mtu mweusi hawezi kupiga round, au hana hela---halafu mzungu mmoja ananiuliza eti oh kwani unatoka nchi gani, nikamwambia Tanzania, jamaa anashangaa, jamaa wajinga sana hawa, wakimwona mtu mweusi wao wanafikiria matatizo tu
 
Naamini wamesikiliza na tayari ilishaondolewa na kutumia picha ya ramani ya Tanzania. JF ni balaa.
 
Na mimi niliona pia hio picha sema sikupata wasi wasi sana kwani JF ilikuwa ishanipa taarifa kwamba kila kitu kimeenda shwari.
 
km washatoa hii habari ni vzuri sana waache kabisa ujinga wao
wanatamani daily afrika kuwe kuvita vita ili wanufaike ndo mana ata wanajifariji kwa kuweka picha huzuni km izi
p....vu zao!
 
ahahahaaaaaaaaah, hawa jamaa wamezidi kutuona sisi wajinga, hata masuala yahusuyo amani they try to potray bad image of Africans, they are dumb enough, hawajui kuwa sasa ni wakati wa mwafrika kushine, mimi juzi tu huku nchini kwa watu, tulikuwa bar jamaa nikawapiga round, wanashangaa sijui wanaona mtu mweusi hawezi kupiga round, au hana hela---halafu mzungu mmoja ananiuliza eti oh kwani unatoka nchi gani, nikamwambia Tanzania, jamaa anashangaa, jamaa wajinga sana hawa, wakimwona mtu mweusi wao wanafikiria matatizo tu

Lakini wanaopiga picha hizi sio waTZ wenzetu, si wana waandishi wao Tanzania? By the way, you should know by now that lots of these guys (wazungu, donor agencies) profit a lot from elections and in country-with-wars. At times, siwezi kujua sympathy yao kwa nchi zenye vita na masikini ipo kwa kiwango gani. Ukitaka kuelewa hili, study war in DRC and other countries in Africa. Utajua nani anapeleka silaha, wanatoa hela ngapi za misaada na zinaenda kwa nani (staff wao, vifaa vyao, magari yao). They are called Ambulance Chasers! Nyerere ndio aliwaweza mabeberu kwa kiasi chake.
 
Back
Top Bottom