Picha: Kufuru ya Tundu Lisu jijini Mwanza Ijumaa iliyopita

linganisha na hapa mbona hapo hakuwepo watu??

images

wameletwa na maroli!!!!!
 
kwani nani huwa ziara yake sio kufuru? ulishawai kuona ziara ya lowassa hadi kuku huwa wanatoka mabandani
sijaona kitu hapo

Kumbe na huku uwa upo? karibu jukwaa la siasa,maana comment yako inaonyesha ulivyo mgeni hapa miss bebii,hata jina lako laonyesha unafaa jukwaa la mapenzi.....
 
kwani nani huwa ziara yake sio kufuru? ulishawai kuona ziara ya lowassa hadi kuku huwa wanatoka mabandani
sijaona kitu hapo
labda kwenye ziara ya kwenda kusaini mikataba ya kifasadi! maana hapo kuku lazima wawepo tena wa kienyeji (mchemsho)
 
kumbe kafanya mkutano mi najua kufuru la kakutwa ananunua changudoa kumbe ni mkutano khaa..
 
au ni misukule si unajua mitaa hiyo kwa iyo teknolojia wapo juu?

hapo ndipo magamba mnakwama manatukana wananchi na kuwanyanyasa kisha kuta kura zao
kumbuka hao unawaongelea hivyo ni wasukuma wapiga kura 2015 na chaguzi ndogo
 
Hizi picha za Nape ka za kutengezena vile? Hembu wekeni za kweli basi.
 
Lowasa funika bovu anamvuto haitaji matangazo watu wenyewe wanajitokeza kwa hiyari ccm bila Lowasa 2015 haipiti.
 
Hata Igunga walijitokeza hivyo, ila mwishowe kura kwa ccm. Wanakuja kushangaa magwanda.
 
Sisi wakazi wa Magomeni hozi picha za Namfe Namnye na wa2 hao ha2kuwaona,picha hiyo labda nizaigunga.Namfe kama blikuwa na wengi 40 mkubwa nakuhurumia kwa kuwapotosha wana ccmizi.Wengi alikuwa nao wa CDM 2limkalia kinafiki mpaka aka2tukana.
 
mtu muhimu sana huyo Chadema wamebarikiwa kumpata,,,safi sana Lissu',,,,,,,,,,,
 
Mimi nashauri mikutano yote ya Kampeni wapige marufuku ya fuatayo
1. Kugawa kofia, kanga au fulana (anayetaka anunue)
2. Kusiwe na aina yoyote ya burudani (TOT, nk)
Alafu tuone nani anakwenda kwenye mkutano wa nani.
 
I thought mnataka ushahidi wa mkutano tena mmepewa picha mnaanza madai mengine ? Mtu mweusi bwana .
 
Back
Top Bottom