Picha, Kikwete - Pope Benedict nani mkali wa draft?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
images
 
Ngoja zomba aione. Kama hakusema alikwenda kujadili Mufti ajae awe ni nani

Huna raha kama hujamtaja Zomba.

Hiyo ni zawadi kutoka kwa Kikwete kwa mzee Papa, acheze vizuri chess kama kawaida yake.

Ni zawadi nzuri inayoonesha jinsi Watanzania wanavyoweza kuchonga kwa kutumia mikono.
 
Hivi mkuu wa ma Ulamaa duniani ni nani?



Sidhani kama yupo maana huwa naona wanajiamulia tu kila kona ya Dunia kwa jinsi wanavyojisikia,Afghanistani,Saudia,Irani,Paistani,Yemeni,Somalia,na kwingineko wanaweza
kutafsiri jambo moja katika maana tofauti kabisa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom