Picha: Kikwete hiki ni KIBURI na DHARAU kwa watanzania

MANGI MASTA

Senior Member
Jul 14, 2011
175
56
Katika kupitia magazeti hapa na pale nikakutana nakauli iliyotolewa na CUF kumtaka KIKWETE kuvunja baraza la mawaziri kwa uozo lililonao.Mwananchi 16/february,2012.juzi chadema nao wakarudia waliyosema CUF.sasa kwanni JK asiitikie wito wa watanzania hawa badala yake anaendelea kutotii.Hii si dharau kwa watanzania waliowengi?
KIKWETE VUNJA BARAZA LA MAWAZIRI 001.jpg
 
CUF si ndo waliolewa na CCM juzikati? Sasa wamechoka ndoa wanataka uke wenza? Makubwaaaa madogo yana nafuu
 
Back
Top Bottom