Picha - Kikwete full mzuka CCM baada ya Kikao

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,885
6,885
4_%2BJK%2Bakisakata%2Bmuziki%2Bwa%2Bhamasa%2Bya%2BChama%2Bna%2BVijana%2Bwa%2BCCM.jpg
3_%2BJK%2Bakisakata%2Bmuziki%2Bwa%2Bhamasa%2Bwa%2BCCM%2Bna%2Bvijana%2Bwa%2BChama%2Bbaada%2Bya%2Bkuwasili%2Bnje%2Bya%2Bukumbi.jpg
 
Hichi chama kilichoitwa chama cha wafanyakazi na wakulima wanyonge kimegeuka kuwa chama cha mipasho,
chama cha kukata mauno na viduku,
chama cha kugawa nafasi za ubunge wa vitanda maalumu, chama chenye mfumo wa biashara na unyonyaji,
chama chenye mashindano ya kulipiziana visasi,
chama cha kumega deal juu ya bega la mswahili.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ukitaka kuamini hiki chama kimeoza ona wauza vitumbua walivyomzunguka monitor wa sarasa hapo shurti kutafuta biashara.na mteja yupo concetrated.kife chama cha mapinduzi.
 
hivi ingewezekana kumkatia mauno kambarage kama hivi?
Acheni mambo yenu nyinyi, mziki unahusiana nini kwenye kusherehekea.
Kambarage ni kajamaa flan tu kalitaka kujifanya kana akili pekee yake nchi nzima alafu kalijipa cheo cha uungu mtu.
Wacha mheshimiwe afurahi bana nyie chukueni time
 
Hichi chama kilichoitwa chama cha wafanyakazi na wakulima wanyonge kimegeuka kuwa chama cha mipasho,
chama cha kukata mauno na viduku,
chama cha kugawa nafasi za ubunge wa vitanda maalumu, chama chenye mfumo wa biashara na unyonyaji,
chama chenye mashindano ya kulipiziana visasi,
chama cha kumega deal juu ya bega la mswahili.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hapo kwenye RED umekosea au ulikuwa unamaniisha ni aina nyingine hii ya ubunge?
 
Acheni mambo yenu nyinyi, mziki unahusiana nini kwenye kusherehekea.
Kambarage ni kajamaa flan tu kalitaka kujifanya kana akili pekee yake nchi nzima alafu kalijipa cheo cha uungu mtu.
Wacha mheshimiwe afurahi bana nyie chukueni time
Bado hujajibu swali.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Acheni mambo yenu nyinyi, mziki unahusiana nini kwenye kusherehekea.
Kambarage ni kajamaa flan tu kalitaka kujifanya kana akili pekee yake nchi nzima alafu kalijipa cheo cha uungu mtu.
Wacha mheshimiwe afurahi bana nyie chukueni time
tumeshachukua.
 
Back
Top Bottom